Wasanii mbalimbali watua Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM: Hivi, Wanaenda kwa lengo la Maendeleo au Wanatumika kwa Agenda za Kisiasa?

Kwenye mikutano kama hii kila mtu analipwa posho kwa siku, kuanzia wakina Kikwete mpaka watu kama wakina Mwijaku. Kipindi cha uchaguzi wakati wa mavuno, msifikirie kuna mtu kaenda kufanya kazi ya kujitolea kule. Si mnaona wameveshwa badges vifuani
 
Wengine wameenda kujiuza tu
 
aisee mabegi yote hayo wanabeba pampas au ni ushamba wangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…