Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
na kutumiwa pia dogo katumiwa sana na wale wanaotumia falsafa ya ya ukitaka kula sharti nawe uliweUbunifu na kipaji na kujituma na baraka
Hewaaaana kutumiwa pia dogo katumiwa sana na wale wanaotumia falsafa ya ya ukitaka kula sharti nawe uliwe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]na kutumiwa pia dogo katumiwa sana na wale wanaotumia falsafa ya ya ukitaka kula sharti nawe uliwe
Hata na wao ni wabunifu hauoni kila siku wanatafuta cha KUMPONDA wakiamini akishuka ndio wao watakuwa juu. Kwahiyo UBUNIFU WAO NI KUPONDA.nimekuja kugundua kuna vitu vidogo sana vinamjenga msaani huyu ni ubunifu tu mdogo huku wasanii wengine wakiwa wamelala usingizi diamond kaja hii yakutembea na kamera yake anayoitumia popote anapoenda iwe shughuli interview pamoja na video zote anazokuwa anashut clip zote hizi zipo youtube nyingine zina view hadi million 1 sasa nachojiuliza hivi kwanini wasanii wengin wanashindw kujifunz ili baada yakuendelea kufanya mambo kimya kimy
Na hiyo imesaidia kupata video clips ambazo zitatumika kwenye video yake na marehemu Papa Wemba, bila kushoot zile clip za studio wakati anarekodi asingeweza kuwa na hiyo memory muhimu ya kufanikisha hiyo video yake ft Papadiamond kaja hii yakutembea na kamera yake anayoitumia popote anapoenda
teh teh teh watu wana siri nyingi sana bro kuna mengi sana nyuma ya pazia[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji87] [emoji87]teh teh teh watu wana siri nyingi sana bro kuna mengi sana nyuma ya pazia