Wasanii mjifunze hili jambo dogo kwa Diamond

Wasanii mjifunze hili jambo dogo kwa Diamond

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Nimekuja kugundua kuna vitu vidogo sana vinamjenga msaani huyu ni ubunifu tu mdogo huku wasanii wengine wakiwa wamelala usingizi diamond kaja hii yakutembea na kamera yake anayoitumia popote anapoenda iwe shughuli interview pamoja na video zote anazokuwa anashut clip zote hizi zipo youtube nyingine zina view hadi million 1 sasa nachojiuliza hivi kwanini wasanii wengin wanashindw kujifunz ili baada yakuendelea kufanya mambo kimya kimy
 
Mwingine hatafuti kiki kwa youtube, njia za kupata kiki bi nyingi sana, unaweza kupigwa picha unagegedwa, zikavuja siku ya harusi yako bado ukaanza Media tour kwenye tv's na redios!! Ni kiki tayariiii!
 
Wakati ana kimbia wao wanatembea unafikili watafika saa ngapi
 
nimekuja kugundua kuna vitu vidogo sana vinamjenga msaani huyu ni ubunifu tu mdogo huku wasanii wengine wakiwa wamelala usingizi diamond kaja hii yakutembea na kamera yake anayoitumia popote anapoenda iwe shughuli interview pamoja na video zote anazokuwa anashut clip zote hizi zipo youtube nyingine zina view hadi million 1 sasa nachojiuliza hivi kwanini wasanii wengin wanashindw kujifunz ili baada yakuendelea kufanya mambo kimya kimy
Hata na wao ni wabunifu hauoni kila siku wanatafuta cha KUMPONDA wakiamini akishuka ndio wao watakuwa juu. Kwahiyo UBUNIFU WAO NI KUPONDA.
 
diamond kaja hii yakutembea na kamera yake anayoitumia popote anapoenda
Na hiyo imesaidia kupata video clips ambazo zitatumika kwenye video yake na marehemu Papa Wemba, bila kushoot zile clip za studio wakati anarekodi asingeweza kuwa na hiyo memory muhimu ya kufanikisha hiyo video yake ft Papa
 
Wakiacha kuishi Kwa kuigiza Ndio wanaweza kufanya vinginevyo ngumu....!!
 
Back
Top Bottom