Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mkiugua mkome kutembeza bakuli. Shuwaini nyie.Nawakumbusha tu msije mkajisahau mkadhani CCM itaondoka na nyie kwenda Ikulu na kuendelea Kula Bata na kupewa visent mnavyodanganywa kwa Sasa.
Hiiiiiììiiiiiiiiii.Kupitia show za CCM wanapata mpunga wa maana so ndio faida tayari au wewe ulitakaje? Mbona mnateseka Sana Wasanii kuwafanyia kampeni CCM Kama na Nyie mnawataka hao wasanii si kuwambieni Viongozi wenu wa wa Chadema walipeni wasanii
Mpunga wa maana ndio shilingi ngapi boss.Kupitia show za CCM wanapata mpunga wa maana so ndio faida tayari au wewe ulitakaje? Mbona mnateseka Sana Wasanii kuwafanyia kampeni CCM Kama na Nyie mnawataka hao wasanii si kuwambieni Viongozi wenu wa wa Chadema walipeni wasanii
Na kweli watakufa njaa, nani atalipa sh.10,000 kwenda kumwona Msanii anayeonekana bure kwenye mikutano ya CCM?Nawakumbusha tu msije mkajisahau mkadhani CCM itaondoka na nyie kwenda Ikulu na kuendelea Kula Bata na kupewa visent mnavyodanganywa kwa Sasa.
Na kweli watakufa njaa, nani atalipa sh.10,000 kwenda kumwona Msanii anayeonekana bure kwenye mikutano ya CCM?
Nipakue vya Nini wakati nawaona kila siku kwenye show za bure kwenye mikutano ya CCMAcha unafki wewe mtoa mada,hivi ni lini ulilipia ili upakue nyimbo zao mitandaoni hata kwa shilingi 100 tu?
Kuanzia 2016 mpaka 2019 unataka kusema walikuwa kwenye mikutano ya CCM. Msijifanye wasafi kwa kukosoa kila kitu kwa mnaowaona hawafanyi kile mnachotaka. Unafki sio mzuri hata kwa wewe unayejiona una harakati.Nipakue vya Nini wakati nawaona kila siku kwenye show za bure kwenye mikutano ya CCM
Huu ni wivu wa kipumbavu tu,maisha ya watu yanaendelea kama watu wengine duniani,huwezi zuia watu kwa matakwa ya moyo wako wa kishenzi,kila jambo hapa duniani ni maisha ya watu,kweni wangeshabikia upinzani na hao ccm wangesema kama uaemavyo wewe ungeona nini?acha watu waendelee na maisha yao we mjinga niniNawakumbusha tu msije mkajisahau mkadhani CCM itaondoka na nyie kwenda Ikulu na kuendelea Kula Bata na kupewa visent mnavyodanganywa kwa Sasa.
Acheni ushamba
Msanii anafanya kazi na yoyote ili mradi ufike dau lake la malipo, kama una mkwanja hata Diamond unaweza kumlipa atumbuize kwenye birthday ya mtoto wako. Hio ndio ajira yao
Miezi michache iliyopita tulikuwa kwenye janga la corona nchini, hvyo wasanii wamepiga miayo sana kwakuwa hakuna show za ndani wala nje ya nchi, sasa kampeni zimeanza na wasanii ndo msimu wao wa kuvuna, kumbuka wana familia na ndugu wanaowategemea
je ulitaka wasusie show, wasusie pesa???
Kutumbuiza hakujaanza leo wala jana ni toka enzi na enzi, hawa akina Diamond na Ali Kiba hata 2015 walizunguka mikoani na CCM,,, na bado baada ya hapo wameendelea kuwa juu kimuziki
Ingia hata YouTube tafuta nyimbo ya 'Number one CCM' ya Diamond 2015 utaikuta,,, na baada ya hapo walirudi mtaani na kuachia madude na wamezidi kupaa ktk anga la muziki nchini na africa kwa ujumla
Wakimaliza nini hebu rudia hapo patamuNawakumbusha tu msije mkajisahau mkadhani CCM itaondoka na nyie kwenda Ikulu na kuendelea Kula Bata na kupewa visent mnavyodanganywa kwa Sasa.