Wasanii mmejipangaje na kasi ya Magufuli? Magufuli kawapoteza

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,951
Ali kiba katoa nyimbo imebuma.

Christian Bella katoa nyimbo na Koffi imebuma.

Belle 9 katoa video kali na track mpya hakuna anaejali.

Wema Sepetu na JB wanakuja na movie mpya sio habari.

Izzo b, Shaa, Jux, Chilla nk wana ngoma mpya ila watu hawana habari.

Mwana FA kila siku anasogeza mbele kuachia ngoma yake upepo hausomeki.

Bongo movie huko ndio kama kumekufa maana hakuna mpya.

Sasa hivi kona zote ni Magufuli. Wengi walifikiri ni upepo baada ya uchaguzi ila ni kama jamaa ameingia hadi msimu wao wa mauzo wa mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka. Na dalili zinaonyesha ataendelea kukimbiza kwa muda mrefu.

So wasanii mjipange na hii kasi ya Magufuli, msipokuwa wabunifu mtaisoma namba na gharama mlizoingia kuandaa project zenu itakuwa hasara.
 
Hivi mr. Icon si anaachia yake leo!?
#utaipenda?
 
Waumize vichwa kutoa vitu vizuri haviwezi buma,chema chajiuza.
 
Hata Ruge kashindwa kufanya Fiesta akisingizia uchaguzi
 
Hivi mr. Icon si anaachia yake leo!?
#utaipenda?
Huyu hela aliyotumia kutengeneza hii nyimbo imesharudi kabla ya kuitoa ingia hapahttps://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/984792-diamond-alamba-milioni-50-kutoka-kwa-dr-mwaka.html
 
Hahahaaaa nimekupata mkuu
 
Nyimbo ya belle 9 inafanya vizuri sana kimataifa vivyo hivyo shaa na nyimbo yake ya toba, mziki wa Tanzania ni mkubwa sana kimataifa sasa hivvi...##don't bother
 
Mkuu swala la Magufuli ni kweli kina impact ila sio kwa kiasi cha wadau wa muziki kukupotezea wakati umewapa kitu kizuri.. Mbona ekotite inafanya poa? mbona diamond kapiga show juzi Arachuga na ilikuwa poa? Ishu ni kuwa hao wote uliowataja hapo juu sawa kazi zao sio mbaya, ila sio kali kiivo kwasababu mwisho wa siku kuna mitaaniz kuna clubs, nyimbo zinapigwa kama kawaida ila sijapata kuzisikia sana hizo mpya..

Ndio maana wasanii wanashauriwa kuwekeza na nje.. Ommy dimpoz nae kahairisha kutoa ngoma ila yupo zake kenya sasahivi anapiga zake tour huko. Hata alikiba nae yupo Uingereza anapiga show huko. Diamond nae katoka kupiga show Arusha, sahivi yupo South kwaajili ya show kesho, baada ya hapo Uganda, then Dar, then Nigeria...

Wasanii wajipange, na mashabiki tuache unafiki unaachaje kusikiliza nyang'anyang'a ya shilole kwasababu ya kasi ya magufuli??? Ndio maana Diamond kaamaua kushoot video faster bongo ya Utanipeda, licha ya kuwa na video alizoshoot tayari ikiwemo collable na psquare kaona bora iende mpaka mwakani..
 
Mambo mengine yanatokea tu out of control yani vijiweni ni story za majipu tu. Unajua music lazima uende na news, kick na vitu vinavyochamsha game. Sasa hivi vyote vimeamia kwa uncle Magu kawa ndio story. So wana survive kina Diamond kina Weusi sababu ya power yao. Ila wengine street wana hali mbaya.
 
Back
Top Bottom