Wasanii mnaoshabikia CCM, mnayajua haya?

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
3,922
Reaction score
1,149
Ingawa kila mtu anahaki ya kupenda chama chochote lakini msiseme kua CCM ndio chama kinachowajari wasanii. Walikuwepo wasanii mahiri ambao walikua wahamasishaji wakubwa wa CCM lakini hata walipofariki hao CCM hawakuwapa hata heshima ya kazi waliyofanya ya kuhamasisha uma waichague CCM.

Hapa nitatoa mfano wa Msanii Salumu Tambalizeni, Huyu jamaa alikua maarufu sana kwa Mshairi ya Kuitukuza CCM na Ktk kampeni za Mwaka 1995 na 2000 alikua hakosi mahari popote alipoenda Mh Mkapa.

Je mnaweza kuona jeneza alilobebewa huyu kada maarufu kwa uhamasishaji linalingana na kazi alizokua anafanya? Kama mnakumbuka huyu jamaa walikua ni Marafiki sana na Jongo katika uhamasishaji, naye Jongo hakuthaminiwa wakati wa ugonjwa wake hadi Mauti ya yalipomkuta huko kwao Chamazi.



Nape alihudhuria katika mazishi.



Tambalizeni akisindikizwa katika nyuma yake ya Milele.


Nape akiweka udongo katika kaburi la Tambalizeni



Kwa pembeni ni Nyumba ya marehemu Tambalizeni.
 
Ngwaire alishawapigia sana kampeni hawa watu
 
sikio la kufa haliskii dawa, ndio maana wengi wao wanaishia kuuza mili yao wa kiume kuwa makuwadi. wanasahau kuhoji haki zao kwann zinapuuzwa na serikali ijayo inamipango gani yakuwasaidia kuweza kufanya sanaa kama kazi. wanaishia kishabikia tu! yangu macho mie jiwe jeusi. lol
 
kuzunguka na mkapa miaka yote hiyo ndio nyumba yake
acheni utani jamani
 
Hiyo ndiyo CCM bhana, mbele kwa mbele :bange:
 
mnaongelea kwakutumia nn nyie watu? na kufikiria mnatumia nn pia? hamko sawa
 
kuzunguka na mkapa miaka yote hiyo ndio nyumba yake
acheni utani jamani

Mkuu sio siri mimi kipindi hicho nilikua mshabiki mkubwa sana wa CCM katika kipindi hicho na kweli jamaa alikua ananivutia sana, maana alikua anafanya Mashairi ktk style ile ya wale watu wa Fataki TBC1.

 
kapten john komba alikufa kwa presha ya madeni ya benki, ccm hata hawakumsaidia kulipa!
 
Kina diamond na domo km bakuli anatutukana watanzania.....kisa anakula kwa mrija akiwa ccm

Mungu yupo..na km Mungu ataamua kuwaadhibu aanze na diamond,wema,nyerere
 
Ccm kila uchaguzi ukiish lazma msanii mkubwa mmoja achuje alianza mr nice marlow sasa mwaka huu sijui atakuwa nan?
 
Usipojishuhurisha mnategeme Lowasa awatoe mmekwishaaaaaaa.
 
Ndio maisha waliyo yachagua.

Kazi yetu itakuwa kuwakumbusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…