Likwanda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 3,922
- 1,149
Ingawa kila mtu anahaki ya kupenda chama chochote lakini msiseme kua CCM ndio chama kinachowajari wasanii. Walikuwepo wasanii mahiri ambao walikua wahamasishaji wakubwa wa CCM lakini hata walipofariki hao CCM hawakuwapa hata heshima ya kazi waliyofanya ya kuhamasisha uma waichague CCM.
Hapa nitatoa mfano wa Msanii Salumu Tambalizeni, Huyu jamaa alikua maarufu sana kwa Mshairi ya Kuitukuza CCM na Ktk kampeni za Mwaka 1995 na 2000 alikua hakosi mahari popote alipoenda Mh Mkapa.
Je mnaweza kuona jeneza alilobebewa huyu kada maarufu kwa uhamasishaji linalingana na kazi alizokua anafanya? Kama mnakumbuka huyu jamaa walikua ni Marafiki sana na Jongo katika uhamasishaji, naye Jongo hakuthaminiwa wakati wa ugonjwa wake hadi Mauti ya yalipomkuta huko kwao Chamazi.
Nape alihudhuria katika mazishi.
Tambalizeni akisindikizwa katika nyuma yake ya Milele.
Nape akiweka udongo katika kaburi la Tambalizeni
Kwa pembeni ni Nyumba ya marehemu Tambalizeni.