Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa amebadilik san mamb mengi ya kuiga ameachana nayo,me napenda anavo vaa yani simple tu huwa namgeza some hrs mavazi
fact onlySiyo jambo la kushangaza. Umri baba (a.k.a uzee)
Ww unategemea kuona mavazi ya ajabu kwa wasanii wa enzi za akina Kiba, Professor, Jide?
kama kusoma,nilichoandika huwezi tafuta hata picha za kiba bhas ndo urudi tena.Ww ni fan wa Kiba na hapa unatengeneza kiki za bure. Hivi wasanii wengine wanaume wanavaa magauni, magunia, au vipedo? Kama ni visuruali vya kubana na vya matobo basi huyo msanii wako ndo zake. Nguo zipi hasa anavaa mpaka aonekane ni zaidi ya wengine!
Hatutoi kiki (In Shilole'z voice)
Kubali tu,mkuu kwanin tubishane..pitia comments apo juu,iyo wew unazngumzia zaman so compare mabadiliko anayo sasa,na wengne wanakoelekea.Ww ongea kitu ambacho kipo. Ila ogopa kudanganya. Kiba mvaa vipuli (hereni) nani asiyejua. Pitia video zake alikoanzia utajua.
haha..mkuu mbna amenyoa kawaid san? kiba sio mtu w marasta na maviduku hasa katika videoz zake.![]()
Hii ilikuwa siku ya akina mama duniani 2017 ona style ya unyoaji.
Alikiba mi nalia ndo kavaa earphoneTafuta video za zamani za Ali kiba, zamani Ali Kiba alikua anavaa pullet za maskio nimesahau ni wimbo gani exactly ila nahisi ni Cinderela na kuna mwingine aliimba na Bob Junior, wapo kwenye kama kimsitu hivi wamevaa tuxedo mara wamevaa mashati ya jinzi of course ni kitambo.
Kuhusu kuimba utumbo.
Ule wimbo unaitwa Nakshi Nakshi kamshiriksha Hakim 5 (kipindi hicho jamaa anarap) chorus inasema hivi.
...so ndo mchezo gani huo, wa kunirusha roho mwenzio, wakati we upo kwa period noo
Kwenye live show ndiyo alikua akitamka bila kung'ata maneno.
Kwenye wimbo wa Mwana alinyoa bonge la Kiduku, kwenye wimbo wake na Queen Darleen alipiga mlegezo mmoja matata sana.
Kuanzia wimbo wa Chekecha Cheketua ndiyo akaondoa Kiduku nahisi hii persona uliyoielezea ni ya kuanzia hapo.
Kwenye mada straight...kiukweli Ali kiba ni mfano wa wasanii wa kuigwa katika vitu anavifanya
Mojawapo ni mavazi anayovaa,anavaa nguo nzuri za kueleweka,pili hajirembi katika videos ye hanaga mambo mengi sijui kutengeneza style flanii za nywele ananyoa kawaida tuu tena vizuri na anapendeza.pia havai mamikufu,macheni kama wasanii wengine..hope mnawafahamu...kingine ali kiba havai au kubandika hereni masikioni kama akina platnumz,rayvanny,ommy dimpozi,neddy,nuhu na wengine...afu hapendi kiki,sio mtu wa kiki akitoa ngoma kuanza kupromote kijinga au kutupa mapicha ya ovyo mitandaoni na vitu kama ivo.
pia ana maadili nyimbo zake nyingi anazoimba zina ujumbe na zinaeleweka si za matusi au kudiss...jamaa yuko poa sana anajua nampa respect sana nikimcompare na wasanii wa kiumeni wengine.
tuyaache mapungufu yake mengine jinsi anavyoongea na watu au katika interviews,na mahusiano...na mengine.
[HASHTAG]#nooneisperfectbutyoucanchangeandstopacting[/HASHTAG]
We unaongelea mkoa au unaongelea mapungufu ya mtu?? Hujui sasa hivi radha ya mziki imekita mizizi kgoma?? Tukisema kigoma ni mzizi wa burudani humu tz mnanuuuuuna,,,,msanii wa kwanza mwenye asili ya kigoma kuto kuwa na tabia za kuvaa ajabu ajabu.maana watu wakigoma kwa fasheni za ajabu
Hahah...Ila nayeye kuzaa hovyo hovyo kama dume lakutoka Denmark kusambaza specie mpya aache.
kawaida sana,apo..afu ilikuwa mwaka gan?![]()
Yaaaaaap
aya...
Sijakuelewa mkuu,umeandika unaenda mbele na kurudi nyuma at th same tym.
kawaida sana,apo..afu ilikuwa mwaka gan?
mbishi kweli wewe! sasa celebrities bongo hamna?
wapo kwa level yetu, ulaya tupa kule
wapi Harmorapa??