Wasanii na Celebrities wa Kiume wa Bongo Badilikeni Kuweni Kama AliKiba

jamaa amebadilik san mamb mengi ya kuiga ameachana nayo,me napenda anavo vaa yani simple tu huwa namgeza some hrs mavazi

Siyo jambo la kushangaza. Umri baba (a.k.a uzee)
Ww unategemea kuona mavazi ya ajabu kwa wasanii wa enzi za akina Kiba, Professor, Jide?
 
kama kusoma,nilichoandika huwezi tafuta hata picha za kiba bhas ndo urudi tena.
 
Ww ongea kitu ambacho kipo. Ila ogopa kudanganya. Kiba mvaa vipuli (hereni) nani asiyejua. Pitia video zake alikoanzia utajua.
 
Ww ongea kitu ambacho kipo. Ila ogopa kudanganya. Kiba mvaa vipuli (hereni) nani asiyejua. Pitia video zake alikoanzia utajua.
Kubali tu,mkuu kwanin tubishane..pitia comments apo juu,iyo wew unazngumzia zaman so compare mabadiliko anayo sasa,na wengne wanakoelekea.
 
Alikiba mi nalia ndo kavaa earphone
 


Yaaaaaap
 
Ila nayeye kuzaa hovyo hovyo kama dume lakutoka Denmark kusambaza specie mpya aache.
 
msanii wa kwanza mwenye asili ya kigoma kuto kuwa na tabia za kuvaa ajabu ajabu.maana watu wakigoma kwa fasheni za ajabu
We unaongelea mkoa au unaongelea mapungufu ya mtu?? Hujui sasa hivi radha ya mziki imekita mizizi kgoma?? Tukisema kigoma ni mzizi wa burudani humu tz mnanuuuuuna,,,,
 
Ali ni mtu mzima plus ana watoto watatu moja kwa moja inamshepu kuwa vile...binafsi mimi namkubali sababu Mimi ni ant manguo ya kuwaka plus kunyoa viduku kuvaa meno nk...huko nyuma kiba alikuwa na hivyo vitu japo sio kiviiile ila kwa sasa ndiye msanii ninayemuelewa kwa kuvaa simple na akapendeza... Siyo kuvaa vaa kama mbasha Wa flora mbasha kulipuka kila SAA kiba is simple and smart....ila hainiondoi...I'm team diamond forever..
 
aya...
Sijakuelewa mkuu,umeandika unaenda mbele na kurudi nyuma at th same tym.


Narudia tena....Tanzania hakuna macelebrities, hao unaowajuwa wewe kuwa ni celebrities ni wasanii yaani wababaishaji tu. Kutwa kazi kukopi kazi za wenzao na kujifanya ni black Americans yaani wannabes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…