Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

Usiombee familia yako wawe na mtu kama chid Benz. Kuna familia moja ipo Ilala walikuwa na mtu kama huyo miaka ya tisini. Bahati nzuri enzi hizo Cocaine haikuwa kivile. so jamaa alikuwa anatumia bangi na pombe Kali konyagi na gongo.

Alikuwa kama teja mchafu kachoka akaanza na udokozi. Halafu mjuaji kinoma anatukana watu mbishi

Cha ajabu sasa kwako pa kishua dingi wa kishua maza wa kishua kaka zake dada zake wadogo zake wamesoma wana kazi kubwa nzuri yeye yupo tofauti kabisa nao japo alikacha shule form two.

Can u imagine yani familia ambayo lets say mtoto wa kwanza ni Profesa Mukandala, wa Pili Zitto Kabwe, wa tatu Dokta Tulia, wanne anakuwa mlevi bange kibaka mpiga debe mnywa gongo halafu wadogo zake mmoja Mwigulu mwingine Ally Hapi. Yani hakuna symmetry.

Walicho kifanya ndugu walileta mganga akapewa jini likamlimbiza akapotea akaenda kusiko julikana.

Maana jamaa alikuwa anafanya makusudi kuwachoresha wanafamilia
Dah LIKUD bwana huishiwi vioja na viroja chief
 
Back
Top Bottom