Wasanii na nyumba za kuigizia

wolfgang2424

New Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
1
Reaction score
0
​Ndugu wadau naomba mniambie ni aje wasanii wadogo wanapoomba kutumia mijengo yenu kuigiza
mnakubali lakini wakianza kuja mabinti warembo baba mwenye nyumba unaanza mikwala hadi
wanahama kwakwo?
:behindsofa:
Eneo moja hapa Dar mwenye nyumba aliamua kudai eti kiongozi wa wasanii hao kapakua minofu yake ya kuku
bila idhini .Second time akadai kachunguliwa bafuni akimaanisha yeye alikuwa anaoga dogo huyo akaingia bila hodi wakati
mlango wa bafu hilo ulikuwa haufungi.
:mvutaji:
Mimi navuta kwa raha zangu wanaoniuzi ni wavuta bangi wanaoniambia eti navuta sigara nyingi wakati wao kwa kuomba fegi
ndio vinara
 

Hueleweki!!! Karibu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…