Wasanii na usanii

Watanzania vitu vingine mjiongeze.
Beef ya kuigiza hii ili muhudhurie show yao kwa wingi.
 
Mnatoka mapovu,wenzenu wanaingiza mpunga kibindoni.
 
Wamejua kuwapatia maana kuna mijitu mapovu yalikuwa yanawatoka, sasa hivi wamezodoka.
 
Ukiangalia hapo k nywele,kope vyote feki,inawezekana hata papuchi ikawa feki ndiyo maana hata bifu lao lilikuwa feki.
 
haahah wajinga ndi waliwao au hupeteza muda na mambo flani flani piga kazi kijana sio kurukia beef za team hii na hiii..mara huyu na huyu mpaka mnatoka povuonline hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…