Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa....
Hivi wewe unaweza kujilinganisha hata na mmoja hapo?Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa
Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki
Bob Wine wa Uganda ni mwanamuziki kagombea uraisi uganda
Tanzania Freeman Mbowe alikuwa DJ wa Muziki na alishagombea uraisi Tanzania uchaguzi wa 2005
Raisi wa Liberia George Weah alikuwa mcheza mpira nk
Swali ni je Africa tumeishiwa vichwa vya wasomi wabobezi na wataalamu wabobezi wa kugombea uraisi ? Ni nini kimetokea hadi hali hii inajitokeza?
Mfumo wa siasa za kiafrika mbovu,Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa
Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki
Bob Wine wa Uganda ni mwanamuziki kagombea uraisi uganda
Tanzania Freeman Mbowe alikuwa DJ wa Muziki na alishagombea uraisi Tanzania uchaguzi wa 2005
Raisi wa Liberia George Weah alikuwa mcheza mpira nk
Swali ni je Africa tumeishiwa vichwa vya wasomi wabobezi na wataalamu wabobezi wa kugombea uraisi ? Ni nini kimetokea hadi hali hii inajitokeza?
Hivi wewe unaweza kujilinganisha hata na mmoja hapo?
Ova
Umejaza maelezo mengi yasiyo na kichwa wala miguu, hebu jibu urais unasomewa wapi?Mleta mada anayo hoja nzito! Ila kwa kuwa amemtaja Mhe. Freeman Mbowe basi wajibu hoja kwa mihemuko wameacha hoja wamerukia kumshambulia mleta hoja! Huo ndio ugonjwa wa Watanzania wengi kwani hawajui mijadala kazi yao kubwa ni ku-attack personalities tu!
Ukweli ni kuwa wasomi wengi hususani hapa Tanzania ni watu wanafiki,waoga,wanaojipendekeza kwa wenye madaraka hadi wanadharauliwa ( mfano rahisi ni Prof.Palamagamba Kabudi)!
Wasomi wengi mbali ya kuwa na "utajiri wa vyeti" ni watu wachumia tumbo sana! Ni wa watu wa "analysis paralysis"!
Unafiki umejengwa na mfumo wa siasa kama sii wa Kitanzania wa kiafrika,wapo wazalendo maslahi na wazalendo halisi , uongo?Mleta mada anayo hoja nzito! Ila kwa kuwa amemtaja Mhe. Freeman Mbowe basi wajibu hoja kwa mihemuko wameacha hoja wamerukia kumshambulia mleta hoja! Huo ndio ugonjwa wa Watanzania wengi kwani hawajui mijadala kazi yao kubwa ni ku-attack personalities tu!