Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Nimbo zake ngumu sana kupatikana,ila ninayo moja hivi yupo na somebody BLACk chorus Da jo da jo tumekukubali,yeye anaitikia Na Bado
Mkuu, naomba hata huo mmoja.
-Kaveli-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimbo zake ngumu sana kupatikana,ila ninayo moja hivi yupo na somebody BLACk chorus Da jo da jo tumekukubali,yeye anaitikia Na Bado
Poa mkuu nikifika town kwenye Desktop nitakutumia.Mkuu, naomba hata huo mmoja.
-Kaveli-
Poa mkuu nikifika town kwenye Desktop nitakutumia.
nadhani yuko kwenye crew ya mrisho mpoto.Mwenye taarifa za Bizimani atuambie yuko wapi.
Huyu ni mahoka mkuu sio mkongwe wala muhenga!hahahahah tisha sana (sio muhenga ni Mkongwe)
Bonge la ngoma hili.kuna wale CMB crew-waliimbaga track my girlfriend kitu kama icho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na SNARE hakuwemo kweli mkuu?!Cheki Bob Maarifa Crew ,walikuwaWatatu AY, AK NA BUFF G
Mkuu huyu dogo yuko ulaya by then alikua anakuja likizo ndo anafanya kazi na amiri jeshi mkuu GKKuna yule alikua muimba chorus baadhi ya nyimbo za E.C.T (East Coast Team) wakuitwa Stan Boy wa Kino clain, yuko wapi kwa anayejua asee
Mzee wa FDC alifanya ngoma moja na Blue inaitwa nafanya nn, alifunikwa vibaya mnoPiggy Black wa FREE DOGS CAMP na goma lake NINI MNATAKA MAZEE