Wasanii nguli wa BongoFleva nchini wamekutana tena katika AFRIMA AWARDS

Hizo tuzo ni zakimagumash tuu hazitofautiani na za killy music
kwa hiyo kili zimekuwa za kimagumashi sio mlivyochukua 7 je belle 9 akakosa kimya mwaka huu mmepata chache zakimagumashi??? 20% alivyobeba 5 je??
 
Hawa nao watakua awafatilii mziki wetu..alikiba katoa albamu lini..!!!

Mkuu ni kweli na wameomba radhi kwenye page yao ya twitter na wameeleza kuwa kilichotokea pale ni DUPLICATION ERROR KWENYE DATABASE YAO wakati wanafeed nominees kwenye Categories husika hivyo ALIKIBA HAYUPO KWENYE CATEGORY YA "ALBUM OF THE YEAR" na sasa wameachia categories kwa usahihi kabisa na nyengine watamalizia ndani ya masaa 22 yajayo!
 
Haya sasa jamani kazi kwetu kuwapigia kura na link ya kuvote ipo hapo kwenye post kabisa!
 

mbona ben paul haujamtaja:A S shade:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…