sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
jamaa wenu nasikia hana rahaa kabisaa nyie mnamshabikia hadi upuuzi nenda insta utaona
Nani anamnyima raha mkuu!? Ni mtoto tiffa au ni kiba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa wenu nasikia hana rahaa kabisaa nyie mnamshabikia hadi upuuzi nenda insta utaona
Inakuaj nomination zisitolewe zote na kwann wasitoe official link ya watu kuangalia??? I doubt for this info
kwa hiyo kili zimekuwa za kimagumashi sio mlivyochukua 7 je belle 9 akakosa kimya mwaka huu mmepata chache zakimagumashi??? 20% alivyobeba 5 je??Hizo tuzo ni zakimagumash tuu hazitofautiani na za killy music
Hizo tuzo ni zakimagumash tuu hazitofautiani na za killy music
Hawa nao watakua awafatilii mziki wetu..alikiba katoa albamu lini..!!!
Wasanii wawili manguli wa Bongofleva nchini, Alikiba na Diamond Platnumz wamechaguliwa kuwania Tuzo za AFRIMA AWARDS zitakazofanyika Tarehe "13th-15th of November" in Nigeria.
View attachment 276429View attachment 276430View attachment 276437
Wasanii hao wamekutana kwenye categories 4 kati ya 5,ambazo ni....
●ARTISTE OF THE YEAR IN AFRICA-2015
○ALIKIBA
○DIAMOND PLATNUMZ
●SONG OF THE YEAR IN AFRICA-2015
○ALIKIBA - MWANA
○DIAMOND PLATNUMZ - NASEMA NAWE
●SONGWRITER OF THE YEAR IN AFRICA-2015
○ALIKIBA - MWANA
○DIAMOND PLATNUMZ - NASEMA NAWE
●BEST MALE EASTERN AFRICA-2015
○ALIKIBA - MWANA
○DIAMOND PLATNUMZ - NASEMA NAWE
●BEST ARTISTE IN AFRICAN COTEMPORARY-2015
○DIAMOND PLATNUMZ
Uku wote wawili wakiwainua maproducer wao,kama inavyoonekana hapo...
●PRODUCER OF THE YEAR IN AFRICA-2015
○MAN WALTER - MWANA PRODUCER
○TUDD THOMAS - NASEMANAWE PRODUCER
LINK:All Africa Music Awards, AFRIMA, 2015 Final Nominees List.
VOTE:Polls