Kwa wale waimbaji au watangazaji wa redio,, kuna kitu nataka kuwashauri(baadhi yenu)...
Kabla hujaimba au kutangaza, hakikisha lugha yako iko vizuri. 7bu lengo lenu ni kuelimisha,basi elimisheni kwa kiswahili sanifu.
Kuna hili kosa la kimatamshi,ambalo hutokana na kuathiriwa na lugha mama... Badala mtu aseme Karibu sana utasikia anasema Kalibu sana, au tajili, kujari,na mengine.
Ndiyo,umeathiriwa na lugha mama,tunakubali hilo. Lakini 7bu umeshaamua kuwa kioo cha jamii inabidi tu ujifunze jinsi ya kutamka maneno vizuri ili usije ukapotosha jamii....
Ni hayo tu,mwenye macho na aone huu ujumbe