Wasanii Tanzania fanyeni wimbo kuhusu kuachiwa kwa Babu Seya

Wasanii Tanzania fanyeni wimbo kuhusu kuachiwa kwa Babu Seya

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Litakuwa ni jambo la heri sana kama wasanii wa bongo watafanya wimbo wa kumshukuru Rais Magufuli kwa kuwasamehe Babu Seya na wenzake
 
Sawa wameachiwa,watungieni masongi
Swali pia muwaulize je ni kweli waliwabaka Wale watoto

Ova
 
TUTAPATA KIGONGO KIPYA MUDA SIO MREFU...Seya wa mivaloooo,seya seyaaaa....
 
Wangeandaliwa show moja ya kibabe wapate japo pesa ya kianzio.
 
Back
Top Bottom