OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
What is your problem with my english?You are not a great thinker enough to understand what does that verse line mean!BTW it your state's duty to ensure the security of all individuals!life is not for only maCCM!Was it necessary to use english? The guy sang in one of his verses "nichinjeni mkanitupe kwenye daraja la mkapa" why bother looking for him then?
Ivi tunawakumbuka akina lucky dube, bob marley nk? Prisoner, africa unite, zimbabwe nk? Nakumbuka historia tuKama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
wanasiasa uchwara akina daudi bashite na baba ubayaSure kabisa. Wanacheza ngoma za drug evils,wanasiasa uchwara kutengeneza matukio. Lakini wamekosea step si kwa serikali hii. Haiendeshwi na mambo ya kuungaunga ili watu wasikike. Hawaendi kuhimiza kilimo majimboni mwao wako mjini wakipanga misheni na wasanii kupanga matukio ya kuiabisha nchi na viongozi. Ole wenu kuna siku mtalia kilio cha ukweli watu watajua aaah usanii tu huo
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
The guy sacrificed himself he knew exactly whats next for him hope you have listened TO viva roma viVa "lete wagambo lete wajeda lete difenda, NIKAMATENI SI MLIMSHINDWA TIBAIJUKA Stupid this is a nation of 55m human being you dont just create tension and lies in the name of art(sanaa) hope they sodomoze himWhat is your problem with my english?You are not a great thinker enough to understand what does that verse line mean!BTW it your state's duty to ensure the security of all individuals not!life is not for only you maCCM!
Ila Hakuna kutukana Wala kukashifuMuziki hauna mipaka..!
Kama alijitoa sadaka mnamtafuta wa niniThe guy sacrificed himself he knew exactly whats next for him hope you have listened TO viva roma viVa "lete wagambo lete wajeda lete difenda, NIKAMATENI SI MLIMSHINDWA TIBAIJUKA Stupid this is a nation of 55m human being you dont just create tension and lies in the name of art(sanaa) hope they sodomoze him
Hapana hawa wajinga wanalipwa hakuna mwanaharakati wa ukweliillegal migrant kwa hivo unawashauri waimbe nyimbo za uharakati wa mapenzi sio?
The people is for the music
The music is for the people
Politically, musically, politically
We mpuuzi usi-niquote nina hasira sana na nyie.Ila Hakuna kutukana Wala kukashifu
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Yaani sijui kama umesoma ukaelewa nacho zungumza ni wale wasanii waliokuwa wanalipwa kwenye kampeni na kusema mh kajinyea huo ni usanii kweli, msanii anatakiwa awe mbunifu na siyo kuambiwa akamtukane kawombe kisha alipwe eti kwa sababu tu kawombe anapendwa na anasikilizwa na watu wengi sijui kama naeleweka.Mh!! Kuna mipaka kumbe sikujua bhana sasa inakuaje mnawatumia kipindi cha uchaguzi wa kisiasa?kama kuna mipaka ya SANAA & SIASA.
Hamuwezi kutumia madaraka kupumbaza watu na kuwaziba midomo.Endeleeni na udhalimu wenu lakini mjue wote sisi na aliye juu,Mungu mkuu,mwenye jina lipitalo majina yotee.Alikuwepo Mobutu sasa yuko wapi? Mambi yoooteee,yatapita na kila mja ataionja ghadhabu ya bwana kulingana na matendo yake.Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
So hii serikali inawashughulikia akina romaSure kabisa. Wanacheza ngoma za drug evils,wanasiasa uchwara kutengeneza matukio. Lakini wamekosea step si kwa serikali hii. Haiendeshwi na mambo ya kuungaunga ili watu wasikike. Hawaendi kuhimiza kilimo majimboni mwao wako mjini wakipanga misheni na wasanii kupanga matukio ya kuiabisha nchi na viongozi. Ole wenu kuna siku mtalia kilio cha ukweli watu watajua aaah usanii tu huo
πππWe mpuuzi usi-niquote ni hasira sana na nyie.
Mmeshindwa kusema na viongozi wa dini mmeona wasanii ndo rahisi, na kwenye kampeni zenu msiwatumie maana wanapotosha ukweli kwa maslahi yenu.Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.