Wasanii tujue mipaka yetu tutofautishe sanaa na siasa

Was it necessary to use english? The guy sang in one of his verses "nichinjeni mkanitupe kwenye daraja la mkapa" why bother looking for him then?
What is your problem with my english?You are not a great thinker enough to understand what does that verse line mean!BTW it your state's duty to ensure the security of all individuals!life is not for only maCCM!
 
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Ivi tunawakumbuka akina lucky dube, bob marley nk? Prisoner, africa unite, zimbabwe nk? Nakumbuka historia tu
 
Sure kabisa. Wanacheza ngoma za drug evils,wanasiasa uchwara kutengeneza matukio. Lakini wamekosea step si kwa serikali hii. Haiendeshwi na mambo ya kuungaunga ili watu wasikike. Hawaendi kuhimiza kilimo majimboni mwao wako mjini wakipanga misheni na wasanii kupanga matukio ya kuiabisha nchi na viongozi. Ole wenu kuna siku mtalia kilio cha ukweli watu watajua aaah usanii tu huo
wanasiasa uchwara akina daudi bashite na baba ubaya
 
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.

illegal migrant kwa hivo unawashauri waimbe nyimbo za uharakati wa mapenzi sio?

The people is for the music
The music is for the people
Politically, musically, politically
 
What is your problem with my english?You are not a great thinker enough to understand what does that verse line mean!BTW it your state's duty to ensure the security of all individuals not!life is not for only you maCCM!
The guy sacrificed himself he knew exactly whats next for him hope you have listened TO viva roma viVa "lete wagambo lete wajeda lete difenda, NIKAMATENI SI MLIMSHINDWA TIBAIJUKA Stupid this is a nation of 55m human being you dont just create tension and lies in the name of art(sanaa) hope they sodomoze him
 
Kama alijitoa sadaka mnamtafuta wa nini
 
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.

Mh!! Kuna mipaka kumbe sikujua bhana sasa inakuaje mnawatumia kipindi cha uchaguzi wa kisiasa?kama kuna mipaka ya SANAA & SIASA.
 
Yaani sijui kama umesoma ukaelewa nacho zungumza ni wale wasanii waliokuwa wanalipwa kwenye kampeni na kusema mh kajinyea huo ni usanii kweli, msanii anatakiwa awe mbunifu na siyo kuambiwa akamtukane kawombe kisha alipwe eti kwa sababu tu kawombe anapendwa na anasikilizwa na watu wengi sijui kama naeleweka.
 
Muziki unaweza kuimba chochote,kwani Komba hakuwa msanii aliwahi kutekwa..acheni kuhalarisha ujinga ili mpite
 
Yaani mlikuja kwa sauti za kubembeleza mpaka pushup mkapiga kuonyesha ni marijari na mtatusaidia na wasanii mlizunguka nao kwenye campaign leo hii mmeota mapembe mnasema wasanii wasihusike kwenye siasa? Really!!
Cheo ni dhamana na wala hamna undugu na Yesu! Mtaona kama mtatawala milele kumbe mnajidanganya tuu, mnapita kama wengine walivyopita!
 
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Hamuwezi kutumia madaraka kupumbaza watu na kuwaziba midomo.Endeleeni na udhalimu wenu lakini mjue wote sisi na aliye juu,Mungu mkuu,mwenye jina lipitalo majina yotee.Alikuwepo Mobutu sasa yuko wapi? Mambi yoooteee,yatapita na kila mja ataionja ghadhabu ya bwana kulingana na matendo yake.
 
Huwezi kukwepa Siasa maishani na ukiikwepa ndio unaishia kupata Viongozi wasio na marinda
 
Muziki ni sanaa,iliyobuniwa ili kuonya,kuelimisha,kuburudisha,kuhamasisha,na hata kuunganisha jamii kwa wakati wake.Tatizo huja pale muziki unapogeuka njia ya kupatia kipato hapo lazima soko lizingatiwe zaidi.Wasanii wazamani walikuwa na njia za kupata kipato nje ya muziki na ndiyo maana miziki yao bado inaishi mf. Marijani,Mbaraka,Gerry Nashon nk.Kwao kiki haikuwa muhimu,ilikuja tu.
 
Sure kabisa. Wanacheza ngoma za drug evils,wanasiasa uchwara kutengeneza matukio. Lakini wamekosea step si kwa serikali hii. Haiendeshwi na mambo ya kuungaunga ili watu wasikike. Hawaendi kuhimiza kilimo majimboni mwao wako mjini wakipanga misheni na wasanii kupanga matukio ya kuiabisha nchi na viongozi. Ole wenu kuna siku mtalia kilio cha ukweli watu watajua aaah usanii tu huo
So hii serikali inawashughulikia akina roma
 
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Mmeshindwa kusema na viongozi wa dini mmeona wasanii ndo rahisi, na kwenye kampeni zenu msiwatumie maana wanapotosha ukweli kwa maslahi yenu.
 
Back
Top Bottom