Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Siasa siyo kuandika verse siasa unamtumia yoyote hata mamako kama anaushawishi unamdanganya na vihela kidogo once mission accomplished you are dumped, ona ameiacha familia yake kwa vihela alivyopewa stupid monkey ass
Mi nashangaa mnahangaika nini wakati mwenyewe amesema ameshajitoa sadaka wamchinje wakamtupe kwenye daraja la mkapa.We ni mjinga kabisa
Mi nashangaa mnahangaika nini wakati mwenyewe amesema ameshajitoa sadaka wamchinje wakamtupe kwenye daraja la mkapa.sikiliza huu wimbo. huyu mtu si ametumwa huyu mi sio mjinga mjinga ni mamako
Hata kama ni mwanangu ana mambo ya kiboya nampoteza tena mimi mwenyewe swala la kunipa discipline naomba uniruhusu nikutafute najua pa kukupata popote utaponiambia ntakuja hata muwe kumiNAONA njaa imekupanda kichwani,,,,,angekuwa ndio ndugu yako huyo aliepotea ungeongea izo pumba zako,,,natamani ungekuwa karibu yangu nikupe discipline
Sasa unataka kuwawekea wasanii maneno mdomoni?Nini kazi ya Sanaa. Msanii ni mwananchi kama wewe, ana uhuru wa kutoa mawazoKama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Sishangai kama lilivyo jina lako ndivyo ulivyo.Matendo na mawazo yako ni illegal.Was it necessary to use english? The guy sang in one of his verses "nichinjeni mkanitupe kwenye daraja la mkapa" why bother looking for him then?
Unamjua bashite?Hamna atakae kuelewa hapa. Wameona awamu ya tano ngumu kupata kiki kirahisi wameanza kuleta matukio magumu kwa mepesi. Ipo siku jibu watalipata
Mimi matusi siyo mzuri sana ni action pole kaka umekanyaga pabaya pole sanaJiandalie KY gelly halafu ntakuambia uje wapi ili usiumie
Kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya, sijui kama unaweza kutenganisha muzikii huu na siasa.Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Ukiikubali hii hakika utakuwa mfungwa na mtimwa wa mawazo kupita kiasi, huu uhuru ulio nao wewe kwa sasa kuna walio umia na kujeruhika na wengine kupoteza maisha kabisa lakin wewe leo uko huru na sidhan kama wote wangefuata mawazo na fikra zako kama hata nusu ya hapa tulipo tungeifikiaKama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Acha kujitekenya ,so ungependa wasanii wote waimbe kuisifu ccm jamn upinzani ni imani ni sprit ambayo huwez kuichange.....Yaani sijui kama umesoma ukaelewa nacho zungumza ni wale wasanii waliokuwa wanalipwa kwenye kampeni na kusema mh kajinyea huo ni usanii kweli, msanii anatakiwa awe mbunifu na siyo kuambiwa akamtukane kawombe kisha alipwe eti kwa sababu tu kawombe anapendwa na anasikilizwa na watu wengi sijui kama naeleweka.
Mi nimemalizana na wewe just wait for your trophyToa ujinga wako wa huko Tz
Ni mpumbavu mwenzio pekee, atakayeona na wewe umeandika cha maana.Mi nimemalizana na wewe just wait for your trophy
Hata we pia unastahili kupotezwaNi mpumbavu mwenzio pekee, atakayeona na wewe umeandika cha maana.
Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.