Wasanii tujue mipaka yetu tutofautishe sanaa na siasa

Siasa siyo kuandika verse siasa unamtumia yoyote hata mamako kama anaushawishi unamdanganya na vihela kidogo once mission accomplished you are dumped, ona ameiacha familia yake kwa vihela alivyopewa stupid monkey ass

We ni mjinga kabisa
 
Wanaimba kuhusu nini? Kama sio maisha ya kila siku
 
We ni mjinga kabisa
Mi nashangaa mnahangaika nini wakati mwenyewe amesema ameshajitoa sadaka wamchinje wakamtupe kwenye daraja la mkapa. sikiliza huu wimbo. huyu mtu si ametumwa huyu mi sio mjinga mjinga ni mamako
 
NAONA njaa imekupanda kichwani,,,,,angekuwa ndio ndugu yako huyo aliepotea ungeongea izo pumba zako,,,natamani ungekuwa karibu yangu nikupe discipline
 
Hata kama ni mwanangu ana mambo ya kiboya nampoteza tena mimi mwenyewe swala la kunipa discipline naomba uniruhusu nikutafute najua pa kukupata popote utaponiambia ntakuja hata muwe kumi
 
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Sasa unataka kuwawekea wasanii maneno mdomoni?Nini kazi ya Sanaa. Msanii ni mwananchi kama wewe, ana uhuru wa kutoa mawazo
kama wewe vinginevyo uwe unawaandikia mashairi.
 
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya, sijui kama unaweza kutenganisha muzikii huu na siasa.
Unless kama sio mfuatiliaji. Lakini kwa kifupi ni kwamba nyimbo karibia 90% za Sugu ni siasa, 95% za nyimbo za Wagosi wa Kaya ni siasa, Prof. Jay siasa nk. Ndio sababu kwenye kampeni zao, wanasiasa wanawatumia wasanii hawa
 
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Ukiikubali hii hakika utakuwa mfungwa na mtimwa wa mawazo kupita kiasi, huu uhuru ulio nao wewe kwa sasa kuna walio umia na kujeruhika na wengine kupoteza maisha kabisa lakin wewe leo uko huru na sidhan kama wote wangefuata mawazo na fikra zako kama hata nusu ya hapa tulipo tungeifikia
 
Mimi nikajua mleta uzi ni Deo maana na yeye aliwahi kuimba bongofleva
 
Yaani sijui kama umesoma ukaelewa nacho zungumza ni wale wasanii waliokuwa wanalipwa kwenye kampeni na kusema mh kajinyea huo ni usanii kweli, msanii anatakiwa awe mbunifu na siyo kuambiwa akamtukane kawombe kisha alipwe eti kwa sababu tu kawombe anapendwa na anasikilizwa na watu wengi sijui kama naeleweka.
Acha kujitekenya ,so ungependa wasanii wote waimbe kuisifu ccm jamn upinzani ni imani ni sprit ambayo huwez kuichange.....
 
Siasa na usanii haviwezi kutenganishwa.vyote hugusa maisha ya watu.sanaa hufundisha huonya hukemea na pia hushauri jamii !!!
 
Hii inaweza kuwa na ukweli. Wanasiasa kama Ney wa mitego lzm watumiwe na chadema na lowasa. Kwani Ney ni timu of lowasa.
 
Mtu keshageuka mungu ndugu yake na yesu...
 
Back
Top Bottom