Wasanii tujue mipaka yetu tutofautishe sanaa na siasa

Watu Kama ninyi hapa duniani hapawafai kuishi, kwa mawazo hayo sijui Kama watoto sako unawajengeaje ujasiri,
sasa ujasiri si ndio huo kutekwa?

hujamuelewa mleta maada, siasa ni ishu ingine wakuu

kuna kuuana kule

so ukiamua kuwa mwanasiasa then it is okay
 

ndio taifa lilipofika

CCM walifanikiwa kudumuza ubongo wa watu wengi, kiasi cha wasomi wengi kuwa kama mazombie, hawawazi, hawafikirii, hawajiulizi, hawayasubirishi maneno, wepesi kuhukumu, hawawazi nje ya box!!
 
Well said
 
Mleta uzi tuondoke hapa usituletee ujinga wako, inaonyesha wewe ni mnufaikaji na ushamba huu lkn tunakuahidi yana mwisho haya and when they pay the price u will part of it.
 


kwelii umenifumbua macho kumbe wale walioingia clouds na bashite na bunduki walikuwa wasanii.

bora unyimwe mali upewe akili.
 
umetumwa wewe sio bure!!! kwanza unajua maana ya msanii??? au unachojua ni kuambiwa ka post hiki...
 
Mbona uandishi wenu unafanana, umeamua utoe mada alafu uwai kuicomment mwenyewe

Kwanza unatakiwa ujue kazi ya msanii, then uje hapa uropoke siyo watu tuna mihasira yetu unaleta huu utumbo wako
 
Unamjuma ama kumsikia hayati Bob Marley yule watu wanasema alichukiwa na baba wa taifa?

Kwa sababu ya uraibhu / utumiaji wa mihadarati pamoja na kudharau jiji la dar/ mzizima na siyo uimbaji wake kwa hiyo usichanganye mambo hayo aliyotenda Bob Marley na kukataliwa na JK1.
 
Sijaona connection ya Ushauri wako na ishu ya R.O.M.A mkuu.

Roma alitumiwa na nani? Je kutumiwa kwake ndiyo kumesababisha akakamatwa? Funguka
Nadhani nyimbo zake nyingi umezisikia ikiwemo viva huyu jamaa alikuwa anajiamdaa kutoa nyimbo nyingine wajuvi wa mambo wana sema yuko kwenye payroll ya watu fulani....sasa huuu ni wanamuziki au aliyataka mwenyewe... kwanza alijua anachokifanya ni hatari ndo mana akasema lete difenda lete wagambo lete wajeda nikamateni mnoch8nje kanitupe kwenye daraja la mkapa...
 
HUYU illegal migrant amevurugwa,,,iyo buku Saba anayopewa Lumumba wangemuongezea tu iwe buku nane
Mi nadhani mwenye jukumu la kulia ni mkewe tu ambaye tunamjua sasa wewe sijui ni mke mdogo au ulikuwa na mahaba huyu ni mtu mkubwa anajua jema na ovu na aliyoyafanya kayafanya kwa utashi wake sasa kwa tasrifa yako diamond naye kaingia kwenye hii vita ngoja nikuweke mziki wake mpya.......ila yeye anatetea upande wa pili ule ambao tunajua anamaslahi nao amemtukana yule dada yenu wa ulaya anayewajazaga uongo.......sasa hapa kuna mziki kweli. Au wanatumika kwa manufaa ya watu fulani WACHA WAPOTEE MA-MBWA.
 
Kama unauhakika na unachokiongea kwamba kuna watu walikuwa wanamlipa atoe ngoma siwezi kukubishia.

Ila kwa historia ya ROMA toka aanze kuimba hawajawahi kuwa Chadema wala ccm.

Umeskia wapi wewe? Unauhakika gani?
 
Kama unauhakika na unachokiongea kwamba kuna watu walikuwa wanamlipa atoe ngoma siwezi kukubishia.

Ila kwa historia ya ROMA toka aanze kuimba hawajawahi kuwa Chadema wala ccm.

Umeskia wapi wewe? Unauhakika gani?
Nadhani hili swala limeshazungumziwa na mamlaka husika sasa sisi tuendelee na maisha yetu ngoja nikamlipie ada mtoto.
 
Huyu jamaa aliyeanzisha huu uzi anashida. . .

Sibora ukae kimya tu
 
Siasa zinajengwa na wasanii kama hujui. Wakati wa kudai uhuru nchi nyingi zilitumia wasanii kama akina Mirium Makeba, Lucky Dube, hata sisi hapa waimbaji wetu ndo walieneza siasa nchini kama vijana jazz na wengine. Muziki, maigizo ndo njia rahisi ya kuhamasisha watu. Mzee Nnauye alikuwa mhamasishaji mkuu kwenye vita za kudai uhuru Afrika. Waulize wapiganaji wetu kwenye 70s-80s jinsi walivyohamasika na kutembelewa naye. Acha hayo mambo tunahitaji vijana wanaojitoa mhanga ili ujumbe ifike.
 
Music is everything Politics, Love, etc so you can't separate them
 
Wanachukuliwa bure? Yupo aliyefanya kazi bure? Anayekataa analazimishwa? Hata hayo matukio ya kutekana unadhani wanafanya bure? Kaa kando huna point. Fankuuuuro.
 
Unafiki wetu upo hapa ,hivi kila siku TZ yanayofanyika hakuna yale ambayo tunanufaika nayo au ndo tumekalia kulaumu ,hila mkae mkijua kuna siri kubwa sana ya kidiplomasia za nchi za kigeni zilizorafi zinazoitamani nchi TZ na ndo inayotoa msukumo huu hadi leo watu tunatanua misuli na kusema tujisikiacho,pia hiki ni kipindi cha kujrnga nchi na siyo cha kupiga kampeni wala siasa tena ,hila ni kuungana kuwa pamoja aijarishi we ni nan,unatoka chama gani kabila au dini bali umoja tu ndo kauli mbiu ya maendeleo ,lkn tunaishi kwa kiki na kwa kuisi kikitokea kitu basi ni fulani ndo atakuwa ameusika aisee ,sasa tusijidanganye serikali hii ni ya chama kilichotoa rais bali ni ya vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi 2015 ,kila idara kuna wawakirishi wa vyama hivyo ,sidhani kama ni busara kusema serikali hii haitufai ,kumbuka kuna mbunge ,diwani ,mkt ,mjumbe,mayor ,wakuu wa mkoa,wilaya nk wa chama chako tofauti na chama tawala ,je nao unawatazam kwa sura gani wasipokutimizia walichohaidi au wao hawana uangaliz mkubwa kwa vile hawako katka chma tawala ,huu ni wakati muafaka ,wa kuchukua tahadhari na kulinda heshima na umoja wa nchi hii,umeshawai jiuliza kwanini viongozi unawaamin kuwa ni wapiganaji katka chama chako awagombei wala hawana mpango kwa kuchukua fomu ya Urais lakn wao ndio wa kwanza kumkosoa rais,na kashfa nyingine kibao ,tafakari pia iangalie siasa kwa jicho la tatu,siasa ni kama nahau kwani ipo tofauti sana na muktadha wake,tupige kazi tuijenge nchi,jiulize kwanin kaskazin ,think big Mtz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…