Unafiki wetu upo hapa ,hivi kila siku TZ yanayofanyika hakuna yale ambayo tunanufaika nayo au ndo tumekalia kulaumu ,hila mkae mkijua kuna siri kubwa sana ya kidiplomasia za nchi za kigeni zilizorafi zinazoitamani nchi TZ na ndo inayotoa msukumo huu hadi leo watu tunatanua misuli na kusema tujisikiacho,pia hiki ni kipindi cha kujrnga nchi na siyo cha kupiga kampeni wala siasa tena ,hila ni kuungana kuwa pamoja aijarishi we ni nan,unatoka chama gani kabila au dini bali umoja tu ndo kauli mbiu ya maendeleo ,lkn tunaishi kwa kiki na kwa kuisi kikitokea kitu basi ni fulani ndo atakuwa ameusika aisee ,sasa tusijidanganye serikali hii ni ya chama kilichotoa rais bali ni ya vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi 2015 ,kila idara kuna wawakirishi wa vyama hivyo ,sidhani kama ni busara kusema serikali hii haitufai ,kumbuka kuna mbunge ,diwani ,mkt ,mjumbe,mayor ,wakuu wa mkoa,wilaya nk wa chama chako tofauti na chama tawala ,je nao unawatazam kwa sura gani wasipokutimizia walichohaidi au wao hawana uangaliz mkubwa kwa vile hawako katka chma tawala ,huu ni wakati muafaka ,wa kuchukua tahadhari na kulinda heshima na umoja wa nchi hii,umeshawai jiuliza kwanini viongozi unawaamin kuwa ni wapiganaji katka chama chako awagombei wala hawana mpango kwa kuchukua fomu ya Urais lakn wao ndio wa kwanza kumkosoa rais,na kashfa nyingine kibao ,tafakari pia iangalie siasa kwa jicho la tatu,siasa ni kama nahau kwani ipo tofauti sana na muktadha wake,tupige kazi tuijenge nchi,jiulize kwanin kaskazin ,think big Mtz