Wasanii tujue mipaka yetu tutofautishe sanaa na siasa

Wasanii tujue mipaka yetu tutofautishe sanaa na siasa

huwezi hata siku moja kutenga sanaa na siasa. kwani sanaa hasa music ni lazima uongelee ma,mo yanayoendelea katika jamii. lakni inahitaji msanii mwenye kujua kupambanua mambo vizuri sio kukurupuka. nahis kuna mchezo mchafu unafanywa na genge la madawa ya kulevya kumchafua rais. I believe things gonna be alright, Muda ndio dawa ya kila kitu hebu tuvumilie kila kitu kitakuja kuwa wazi.
 
We mleta uzi huu elewa kuwa msani kuwa mwanaharakati ni kawaida tu

...[HASHTAG]#PUBLIC[/HASHTAG] ENEMY hvi ushasikia nyimbo zao wakati ule au bado ulikuwa bwan dogo

Ova
 
Wasanii wa hapa Tanzania hutumiwa vibaya na Wanasiasa kwa kuwatuma kuimba nyimbo za matusi ili kujipatia pesa Sababu ya kuendekeza njaa. Msani kama Ney wa mitego Hutumiwa na CHADEMA na LOWASA Kwani yeye Mwenye anasema ni timu of Lowasa. Pale anapopata mshahara kutoka upande wa pili ni sitahili yake Kwani Upo msemo usemao "UKIPENDA KACHUMBALI SHARTI PENDA NA PILIPILI" Kweli tunamlilia Loma wasani lkn mjue hata nyinyi mnatumika vibaya na Wanasiasa. Hivyo Hii ya Loma iwe FUNDISHO kwenu. Tunamwombea kwa mungu Arudi akiwa salama na wenzake.
 
Sijaona connection ya Ushauri wako na ishu ya R.O.M.A mkuu.

Roma alitumiwa na nani? Je kutumiwa kwake ndiyo kumesababisha akakamatwa? Funguka
 
Hujaelewa maana na kazi ya sanaa katika jamii la sivyo usingeliangalia kisiasa
 
Mimi nashindwa kuelewa mtu anatenganishaje maisha na siasa!!Siasa ndo inadetermine maisha yako ya kila siku sasa unaanzia wapi kujitenga nayo!?
Muziki ni miongoni mwa njia za kufikisha ujumbe na ni miongoni mwa njia zilizotumika miaka mingi katika mapambano tofautitofauti,sitaki kusema serikali inahusika na kupotea kwa roma ila uchunguzi wa haraka ufanyike.Inakuwaje faru anakuwa na thamani kuliko binadamu!?
Siasa ina determin maisha yako ya kila siku.
Ukiichezea siasa vibaya inakutoa uhai (kubali ukatae).
Ukiicheza vizuri hutopotea.
 
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Nadhani hujui kazi ya mziki kwenye jamii. Kwa ulichoandika hapo unafikiri mziki ni kuburudisha tu, hayo ni mawazo mafupi. Mziki ni chombo cha kuelimisha na pia kwa ajili ya ukombozi wa jamii husika. Kwa mfano akina Bob Marley walipiga nyimbo za ukombozi wa Zimbabwe, je walikosea,?? Muda wa kupiga nyimbo za kutukuza viongozi feki ulishapita.
 
Roma na Ney wa mitego ni wanamuziki, wasanii ni wale wanaoshirikiana na ccm kwenye kampeni zao.
 
Kwani huyo mnaemtafuta kafanya kosa gani au ana tofauti gani za kutufanya tuhisi tunayohisi
 
Music nikilakitu,music hauna mipaka,musiki ni maisha yakilasiku,music nizaidi ya siasa.Mtoa mada bado unaufahamu mdogo ktk nadharia ya music
 
Kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya, sijui kama unaweza kutenganisha muzikii huu na siasa.
Unless kama sio mfuatiliaji. Lakini kwa kifupi ni kwamba nyimbo karibia 90% za Sugu ni siasa, 95% za nyimbo za Wagosi wa Kaya ni siasa, Prof. Jay siasa nk. Ndio sababu kwenye kampeni zao, wanasiasa wanawatumia wasanii hawa
Sema Hip Hop bongo na sio kizazi kipya.
Diamond,Kiba,Banana, Lina, Barnaba, Jide, Bushoke, AY nyimbo zao hazikashifu.
Hip hop lazima utengeneze maadui.
 
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika kwenye kampeni ili kuvutia wafuasi, sasa inapotokea msanii unanunuliwa kwa sababu tu unawashabiki wengi ndipo unapokaribisha matatizo, vivyo hivyo kwa waandishi wa habari mtu anahongwa ili amchafue mtu fulani bila kujali habari zake zina wafikia wananchi wangapi, sasa hivi naona sanaa yetu ikipotea kisa ni kila mwenye jina kujiingiza kwenye siasa ama kwa kuamini atahama na wafuasi wake aliokuwa nao kwenye mziki ama kwa kutumiwa kwa malipo ili afikishe ujumbe potofu na chochezi....bila kujali taharuki na chuki atakayoijenga kwa wananchi. Huwezi ukawa mwanamuziki halafu unafanya kazi za kiunaharakati just be ready to face the music as well, chagua moja sanaa ama siasa.
Unaelewa ulichokiandika? Unataka kusema tukio lina uhusiano na unachokiamini? Basi kama ndivyo hivyo, ujue fika hatuko salama ukiwemo na wewe.
 
This is a purely naive person in the forum!others we are in frontline to bring back your freedom,stay being a nanny at Lumumba,it's a matter of segregation of duties!we fade up of love-music we want movement-music!

Nahisi wa TZ tunakurupuka sana sometimes. Kasikika mdada/msanii aliyeshuhudia tukio mmoja tu,wengi hatuna exactly info/news of what real happened out there. Hao watu walienda na kumuulizia mtu mwingine,wakaambiwa hayupo ila Roma yupo. Wakasema waitiwe,jamaa kuja wakamuuliza wewe ndiye Roma?!! Then stori inaendelea.....
1. Ni wazi hakuwa target wao wa kwanza/mtu waliomfuata in the first place
2. Wamebeba watu wengi,may be kupoteza ushahidi au wamehisi watakuwa na msaada/majibu ya wanachotafuta.
3. Sahv kila kona watu wanazungumza kuhusu mtu mmoja tu,km kweli ni kutaka uhuru basi zungumzeni kuhusu wote waliobebwa/kutekwa kwa mapana sawa.
4. Tuwe tunapata newz vyema kwanza kabla hatujahukumu.
5. Mijamaa hata haimjui Roma,kiasi mpk ilimuuliza wewe ndiye Roma!??!!!?
 
Back
Top Bottom