Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Changamoto za Watanzania tangu Baba wa Taifa hadi sasa bado ni yale yale UJINGA, MARADHI NA UMASKINI. naona Ujinga umehamia Kichwani na Umaskini umehamia Mawazoni, Kuishi kwa kusubiri fulani aanguke au afeli ndio uongee ni hatua ya kwanza kuelekea kuwa Mchawi.
 
Yani kwa kifupi unamaanisha chilla bado hataki kukubali ukweli kwamba time yake imepita?
 
Rudi kwenye replies zako za mwanzo ndo utajua kuwa hukufaa kujiita man bwana mdogo.
Hakunaga man mwenye makasiriko na mafanikio ya wenzie.Bali huwa tunapongeza kwa mwenzako alipofikia then keep kama motisha.

Niko hapa kabla yako my baby
Boy let us call it a day boy. I said what I said ndiyo mtazamo wangu. Nawe nakubariana na mtazamo wako sina tatizo nao so I'm done Boy.
 
Hakuna anayesubiri flani aanguke ni trend tu iko wazi. Sema watanzania hatupeni nyeupe kuiita nyeupe na nyeusi kuiita nyeusi mambo mengine yako wazi kama dish juu ya bati.
 
Yani kwa kifupi unamaanisha chilla bado hataki kukubali ukweli kwamba time yake imepita?
Hiyo ndo point lakini anaweza kurudi kama akipunguza mdomo hapo alipo amepewa gari na harmonize pia sasa staa unashindwa kununua hata gari?
Jamaa ni msanii mkali ila anavunja moyo watu wanaomsaida
 
Bora umesema wewe kaka
 
Mkuu na wewe fanya, mwenzio anafanyaa wewe unaongea

Hata akifeli ni uthibitishi kuwa ALIFANYA.
.
Hakuna kitu kigumu duniani kama execution. Hizi porojo za maneno, idea na ushauri kila mwenye pumzi anaweza kuwa nao.
Ni wapiga porojo tu ambao hawajawahi kufanya jambo lolote jipya ndio hawajawahi KUSHINDWA.

Halafu hao Kondegang mnawachukulua poa, ila ina watu kama kina Jembe ni Jembe wazoefu na wanajua nini wanafanya.
 
Hivi jembe ni jembe radio bado iko kwa hewa mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…