Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Wasanii wawili waliokimbia label ya king's music ya Alikiba, cheed na killy hatimaye wametambulishwa rasmi katika label ya Kondegang ya Harmonize.

Kwa sasa label hiyo ina jumla ya wasanii 5 tangu kuanzishwa kwake ikiwa ni chini ya mwaka mmoja tu pia inasimamia kazi za msanii skales kutoka nchini Nigeria katika Afrika mashariki.

Awali msanii q chila aliwahi kuhusishwa na label hiyo lakini karibuni alifunguka na kusema hakusaini Kondegang kwa sababu Harmonize hawezi kumlipa.
Changamoto za Watanzania tangu Baba wa Taifa hadi sasa bado ni yale yale UJINGA, MARADHI NA UMASKINI. naona Ujinga umehamia Kichwani na Umaskini umehamia Mawazoni, Kuishi kwa kusubiri fulani aanguke au afeli ndio uongee ni hatua ya kwanza kuelekea kuwa Mchawi.
 
Jamaa alianza kwa yule bosi wake qs muhonda alirudi vizuri kama unakumbuka zile video south Africa na Adam juma.
Alipangishiwa nyumba na ka baby Walker.
Ghafla akadai anataka kuvunja mkataba kwani qs hajampa kiwanja wakati kwenye mkataba hawakukubaliana hilo.
Harmonize alipomsaida juzi na zile project chillah alimpamba sana kuwa dogo ana moyo sijui hajasahau walipotoka.
Lakini juzi kwenye interview anadai harmonize hajamsain sababu hawezi kumlipa yeye ( chillah) anadai yeye ni mkubwa
Yani kwa kifupi unamaanisha chilla bado hataki kukubali ukweli kwamba time yake imepita?
 
Rudi kwenye replies zako za mwanzo ndo utajua kuwa hukufaa kujiita man bwana mdogo.
Hakunaga man mwenye makasiriko na mafanikio ya wenzie.Bali huwa tunapongeza kwa mwenzako alipofikia then keep kama motisha.

Niko hapa kabla yako my baby
Boy let us call it a day boy. I said what I said ndiyo mtazamo wangu. Nawe nakubariana na mtazamo wako sina tatizo nao so I'm done Boy.
 
Changamoto za Watanzania tangu Baba wa Taifa hadi sasa bado ni yale yale UJINGA, MARADHI NA UMASKINI. naona Ujinga umehamia Kichwani na Umaskini umehamia Mawazoni, Kuishi kwa kusubiri fulani aanguke au afeli ndio uongee ni hatua ya kwanza kuelekea kuwa Mchawi.
Hakuna anayesubiri flani aanguke ni trend tu iko wazi. Sema watanzania hatupeni nyeupe kuiita nyeupe na nyeusi kuiita nyeusi mambo mengine yako wazi kama dish juu ya bati.
 
Boy let us call it a day boy. I said what I said ndiyo mtazamo wangu. Nawe nakubariana na mtazamo wako sina tatizo nao so I'm done Boy.
Me pia nimemaliza my baby umepata funzo
IMG_20200801_150453.jpg
 
Yani kwa kifupi unamaanisha chilla bado hataki kukubali ukweli kwamba time yake imepita?
Hiyo ndo point lakini anaweza kurudi kama akipunguza mdomo hapo alipo amepewa gari na harmonize pia sasa staa unashindwa kununua hata gari?
Jamaa ni msanii mkali ila anavunja moyo watu wanaomsaida
 
Changamoto za Watanzania tangu Baba wa Taifa hadi sasa bado ni yale yale UJINGA, MARADHI NA UMASKINI. naona Ujinga umehamia Kichwani na Umaskini umehamia Mawazoni, Kuishi kwa kusubiri fulani aanguke au afeli ndio uongee ni hatua ya kwanza kuelekea kuwa Mchawi.
Bora umesema wewe kaka
 
Asksr,
Huyu Harmonize naona hajui pa kushika ni wapi, alianza na Qchief hamukmfikisha kokote (Qchilla naye anageuza maneno kuna siku anahojiwa na Babu wa kitaa alisema kuna watu walimfitinisha Harmonize akasepa pasipo hata kumwambia sababu leo anasema hakuwa na uwezo wa kumlipa), akaja na Ibra naye sioni anakoelekea, mara kamsaini yule Mnaija naye hajafika kokote, sasa kawasign hawa madogo. Personally hawa madogo naona hata vipaji hawana walikuwa wanatembelea nyota ya Alikiba tu.

Ila muda utasema maana yeye mwenyewe Konde Boy naona siku baada ya siku kimziki anazidi kushuka, Konde wa sasa si kama konde wa kipindi yuko WCB baada ya miaka miwili sijui atakuwa wapi Mr. Konde.
Mkuu na wewe fanya, mwenzio anafanyaa wewe unaongea

Hata akifeli ni uthibitishi kuwa ALIFANYA.
.
Hakuna kitu kigumu duniani kama execution. Hizi porojo za maneno, idea na ushauri kila mwenye pumzi anaweza kuwa nao.
Ni wapiga porojo tu ambao hawajawahi kufanya jambo lolote jipya ndio hawajawahi KUSHINDWA.

Halafu hao Kondegang mnawachukulua poa, ila ina watu kama kina Jembe ni Jembe wazoefu na wanajua nini wanafanya.
 
Hivi jembe ni jembe radio bado iko kwa hewa mkuu?
 
Back
Top Bottom