Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Mafanikio ya kufanya vituko vya kutengeneza nywele kama mwanamke afanyavyo Rayvanny ?
Mimi muonekano wa rayvanny hata siukubari. Na compare nyimbo za harmonize wakati yuko WCB na baada ya WCB. Na compare anavyotambulisha wasanii wake na trend yao na wasanii wengine wa WCB akiwemo yeye alivyotambulishwa graph yake ilipanda juu kwa juu kwakuwa alifanyiwa branding na promo la maana, kitu ambacho Ibra kakosa. By the wimbo wa ibra nimekubali niliuelewa na nikaudownload.
 
Harmonize bana. Baada afanye mambo yake, yeye kutwa kuwaonesha WCB kwamba atawezana. Hapa kafeli kusema kweli. Ni kama Navy Kenzo walivosajili wasanii wakati muda bado
 
Harmonize bana. Baada afanye mambo yake, yeye kutwa kuwaonesha WCB kwamba atawezana. Hapa kafeli kusema kweli. Ni kama Navy Kenzo walivosajili wasanii wakati muda bado
Wanasimamia wakati wanatakiwa kusimamiwa[emoji16][emoji16]wajifunze kwa kina AY, ni magiant na ndio waliowaonyesha njia baadhi yao lakini wanasimamiwa

Kusimamia wasanii wakati hata wewe ni msanii unazihitaji mia mbili mia mbili lazima utafeli
 
Watu mna chuki khaaa
ama kweli walijisemea wazaramo "Binadamu atakuchukia akiamua"
Mtu kajiskia kuwasaini watu hamjui makubaliano yao kwenye mkataba,hivi kuwaombea watu mema mnashindwa kabisa? Ama kweli mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.
All the best kwa Konde music world wide wanafiki wa Jf wazidi kukufanya uongeze bidii
 
Mkuu kunywa maji 🤣🤣🤣
 
Kwahiyo kwako hayo Ndio mafanikio ya msanii ??!!!
 
Ukali bila kwenda viral ukatengeneza ela ni sawa umesoma sana halafu uko mtaani una njaa aliyemaliza la saba anatengeneza pesa. Kingereza bila ela ni sawa na kupiga kelele (Moja ya mstari wa Langa (RIP).
Mwisho wa siku kika aliyeko Wasafi huwa tunaona ana mafanikio makubwa sana, mpaka pale atakapopigwa chini.

Qboy, Mavoko na Kufesi wote tuludhani washatusua
 
Kwahiyo kwako hayo Ndio mafanikio ya msanii ??!!!
Mziki ni showbiz, ukifanya vizuri utakuwa midmoni mwa watu, utasikika kwenye bajaj, boda boda, utapata views za kutosha. Lakini kama husikiki ina maana unapote, na ukisika ndipo utapata shows uta make money.
Anyway, time narudia time will tell kwani muda uwa haudanganyi
 
Zuchu anafanya POA sio kuliko ibra tu sasa hivi umaarufu wa zuchu kamzidi hadi huyo konde . Ukitaka proof angalia hata mtaani kwako ngoma za nani zinalia Sana.
Halafu mimi ninaona kina cheed na killy wamefail sana kwenda kwa harmonize. Ni bora wangebaki kwa kiba tu
 
Mwisho wa siku kika aliyeko Wasafi huwa tunaona ana mafanikio makubwa sana, mpaka pale atakapopigwa chini.

Qboy, Mavoko na Kufesi wote tuludhani washatusua
Q boy hivi wasafi alikuwa nani? Kwanza hakuwa msanii chini ya label ya wasafi na according to Salam hilo lilikuwa pia kosa la Q boy la kuwa anatumia jina la label kama vile ni msanii wa label. Na alipoondoka wasafi Qboy alikuwa tayari ana jina akafanya ngoma kadhaa and it seemed as if anaendelea poa, kama unakumbuka alifanya ngoma na wale madogo wa Pah One, lakini nje ya wasafi akashindwa kukeep up yaliyobaki yanasikitisha.
Kuhusu Mavoko sijui nini kilitokea, ila alipochukuliwa WCB walimpa comeback ya maana sana Mavoko. Kitu ambacho WCB nawasifu ni kumbrand mtu na kumpa promo.
Just imagine hadi Zuchu watu wakaanza kucompare na Lady jaydee which was ridiculous lakini kwa upande wa promo WCB walikuwa wamepatia
 
Mwisho wa siku kika aliyeko Wasafi huwa tunaona ana mafanikio makubwa sana, mpaka pale atakapopigwa chini.

Qboy, Mavoko na Kufesi wote tuludhani washatusua
Sasa huyo harmonize vurugu zote za kuanzisha label na ku sign wasanii Ni anatumia mafanikio aliyotoka nayo wcb.
 
Muziki wa Tanzania hauko hivyo..

Labda kama nia yako ni kupata mademu na umaarufu.

Ndio maana tasnia ya burudani Tanzania inakuwa lakini wanaotajirika siyo wasanii.

Wanaopiga pesa ni media houses/promoters, owners na Managers jama Wasafi festival, Fiesta ba Prime time.
Hao kina Rayvanny wanapata oesa ya kulipa kodi tu.
 
Yani hapa point ya msingi naongelea msanii kumfanya azalishe pesa iwe inamfikia au haimfikii yeye lazima awe kwenye show buzz. Ndiyo point ya msingi ya kusema Harmonize hata msanii wake Ibra mpaka sasa hajafika level hiyo.
 
Hao wanaofanya hiyo comparison ni hao hao mashabiki wa Wasafi na lengo lao ilikuwa ni kujenga chuki ya kibeef wampandushe Zuchu.
Ndio maana kwa kuwa Nandy anafanya vizuri kwasasa wametumia media yao kwa kumtumia Gig money apambane kujenga uninga wa kumshusha.
Yaani hao Wasafi ukiwa na akili zao timamu unawaina walivyo majoka ya kishetani.

Ndio maana ingawa Kiba ni kiburi ila sometimes namuelewa, walitaka kumtumia akashtuka.

Wanajifanya kinafski media yao eti ya kwetu sote wakati ngoma za Mavoko na Kondegang hawapigi
 
Yani hapa point ya msingi naongelea msanii kumfanya azalishe pesa iwe inamfikia au haimfikii yeye lazima awe kwenye show buzz. Ndiyo point ya msingi ya kusema Harmonize hata msanii wake Ibra mpaka sasa hajafika level hiyo.
Tanzania hata wewe ukuandaliwa tamasha na Clouds au Wasafi utapata watu tu na pesa utapata.

Huhitaji kuimba wala kutunga saaana, imba hata cover tu.

Mashabiki wengi Tanzania ni misukule
Hizo showbiz anazo Harmorapa, mafanikio yske yakoje ?
 
Hiyo ya media yetu sote I do not buy that. Yani hakuna jambo ambalo walikuwa wanalaumiwa clouds kufanya ambalo wasafi hawajafanya sema tu ushabiki na utetezi wa mtanzania uwa una base zaidi kwenye mahaba kuliko facts. Akifanya mtu usiyempenda uta curse akifaya kile kile unayempenda utamtetea.
 
Kalale huko mshamba, ZUCHU NI BRAND
 
Tanzania hata wewe ukuandaliwa tamasha na Clouds au Wasafi utapata watu tu na pesa utapata.

Huhitaji kuimba wala kutunga saaana, imba hata cover tu.

Mashabiki wengi Tanzania ni misukule
Ila sasa clouds naona kama taratibu wanapoteza ile touch ya promo walizokuwa wakifanya zamani this time around. Naona kama hawako well organized sijui ni feeling yangu au vipi ila that is how I see it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…