Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Asksr,
Huyu Harmonize naona hajui pa kushika ni wapi, alianza na Qchief hamukmfikisha kokote (Qchilla naye anageuza maneno kuna siku anahojiwa na Babu wa kitaa alisema kuna watu walimfitinisha Harmonize akasepa pasipo hata kumwambia sababu leo anasema hakuwa na uwezo wa kumlipa), akaja na Ibra naye sioni anakoelekea, mara kamsaini yule Mnaija naye hajafika kokote, sasa kawasign hawa madogo. Personally hawa madogo naona hata vipaji hawana walikuwa wanatembelea nyota ya Alikiba tu.

Ila muda utasema maana yeye mwenyewe Konde Boy naona siku baada ya siku kimziki anazidi kushuka, Konde wa sasa si kama konde wa kipindi yuko WCB baada ya miaka miwili sijui atakuwa wapi Mr. Konde.
Ibrah ana miezi 3 tu tayari mmeshaanza kumuwangia, binafsi namuona huyu dogo kama atakaza zaidi anakipaji sahihi na kufanya vyema na kuwa ontop hata juu ya huyo harmonize mwenyewe..
 
Tuo umbugira hapa usimfananishe SIMBA na maunderground hata kwa level za THE BET WINNER hajazifikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamuongelea Diamond huyu ambaye kutwa kucha anashangilia ku perform kwenye fiesta ya Ccm pale Kirumba stadium,

Diamond alikuwa hot soup miaka miwili nyuma , kwa sasa ni mfanyabiashara anayemiliki vyombo vya habari, sio kinyume na hapo
 
Mmekaa Dar mnafikiri ndio nchi nzima

Huku mikoani tunajiuliza Zuchu ndio nani?
Huku zinalia zaidi za Ibrah
Ahaaaaaaaaah unajitekenya na kucheka mwenyewe, yaani msanii asisikike Dar afu mavijijini kwenu huko asikike it's ridiculous [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ZUCHU the east Africa QUEEN
 
Zuchu ndio nani? Labda kahama, niliko hatuwajui hao hata huyo ibrah tunawaonaga tu mitandaoni na kidogo kwenye tv, huku kama hufuatilii muziki huwezi kuwajua hao watoto
Kumbe ndo maana hamna hata katv[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mo

Most viewed song ya ibra ina 7.7m
ya zuchu ina 7m
Almost video zake zote zina hit 1m+

unahitaji.mafanikio gani kwa msanii ambaye ana miezi kadhaa kwenye game zaidi ya hayo? kama utaitazama konde gang kwa kuicompare na wasafi utakuwa una mapungufu kichwani.
Konde gang now wanastrugle kutafuta wafuasi, Wasafi walishatoka huko. kwa mantinki hiyo konde gang wanafanya vizuri tu, unless ujifanye haujui kitu.
Tena na hiyo ya 7.7m ni collaboration na konde ila ZUCHU NI one women one army so now ni official East Africa QUEEN
 
Muziki siyo views, Kwasababu kuna zingine ni paid views.

In short huwa Zuchu kagharamikiwa sana kiasi gani hata matokeo ya huo uwekezaji yalitakiwa kuzidi hapo.
- Kuanzia branding affair Mlimani City

- Paid Views kumtangaza

- Beef za kulazimisha

& Both media and social media campaign

- Ukiwekeza mtaji wa elfu hutakiwi kuoata faida sawa na aliwekeza milioni 10 .

Itakuwa ni totat failure
Ahaaaaaaaaah kumbe ZUCHU MAMA LAO ETI
 
Nyimbo yenyewe iko kwenye Account ya Harmonize halafu unamlinganisha na ya Zuchu ambazo nyimbo zote ziko kwenye account yake kweli mkuu?![emoji23]

Zuchu amefanikiwa kwa kiasi kikubwa Sanaa!
Mimi mwenyewe nashangaa yaani nyimbo ya harmonize ndo anatumia kumshindanishia ZUCHU[emoji1787][emoji1787][emoji1787] it's ridiculous
 
Ibrah ana miezi 3 tu tayari mmeshaanza kumuwangia, binafsi namuona huyu dogo kama atakaza zaidi anakipaji sahihi na kufanya vyema na kuwa ontop hata juu ya huyo harmonize mwenyewe..
Ibrahim huyu amabae hata kuomba hajui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unamuongelea Diamond huyu ambaye kutwa kucha anashangilia ku perform kwenye fiesta ya Ccm pale Kirumba stadium,

Diamond alikuwa hot soup miaka miwili nyuma , kwa sasa ni mfanyabiashara anayemiliki vyombo vya habari, sio kinyume na hapo
Ahaaaaaaaaah kumbe kujua laikua Moto pia ni ishara ya kumkubali, pia kumiliki hivyo vyote amedhihirisha ni DON na MOGUL wa hiki game , kwani Kuna mwingine anayemiliki UTAISOMA NAMBA WCB MBELE KWA MBELE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hua ninawaambia wadau wanabisha,kua harmonize bado anatembea na Hari ya wasafi
Hao akina ibra na wengine bado Wana Hari ya wasafi wasafi
Hata yeye pia yupo hivyo. Na sisi yeye tu muziki wa sasa unahitaji upite njia hizi wanazopita Wasafi ila kwa ambae hajui anajua wanaofanya hivyo wanaiga
 
Back
Top Bottom