Wasanii wa Bongo acheni kulilia; fanyeni kama Rihanna

Wasanii wa Bongo acheni kulilia; fanyeni kama Rihanna

Kwahiyo utetezi wa Msando unaishia Insta tu?

Au alikuwa anazitarget nyapu za kina Wolper?

umaarufu kunuka tuu wa ig!!!ule huyo wolpa kwa kuangalia muandiko unaujua sio wake
msando umaarufu ashapata atulize mshono
 
Hawataweza wamezidi maigizo hadi katika maisha halisi
 
umaarufu kunuka tuu wa ig!!!ule huyo wolpa kwa kuangalia muandiko unaujua sio wake
msando umaarufu ashapata atulize mshono

Msando kama ana huo umaarufu labda kupitia Chadema sijaona kesi ya maana aliyowahi kusimamia mpaka kulazimisha umaarufu huo.

Kwa mawakili vijana mpaka sasa Peter Kibatala ndiye anayefanya vizuri.
 
Msando kama ana huo umaarufu labda kupitia Chadema sijaona kesi ya maana aliyowahi kusimamia mpaka kulazimisha umaarufu huo.

Kwa mawakili vijana mpaka sasa Peter Kibatala ndiye anayefanya vizuri.

mwanasheria wa ig yule sasa hv namuona yuko na wabongo muvie sijui anataka kusafieha nyota
 
Coca Cola sasa hivi hawaangalii hata huo umaarufu ukiwa followers hata 1500 wanakupa hilo bango
 
Wakiishitaki Coca cola, wanahofia kupoteza shows kibao, labda wajaribu wasanii wa filamu
 
Wema ile nyumba inadaiwa amepanga sio yake
Aunty kuishi large sijui na siamini

nakupa mfano mmoja tu
marehemu Aisha Madinda alikuwa anaonekana anaishi 'large'
siku akaumwa miguu ikatakiwa laki nne mashabiki wamchangie...

ndo wasanii wa TZ wengi wako hivyo....

mara utasikia wako mwananyamala hospitali.......sasa unajiuliza unaishi large ukatibiwe mwananyamala?

Halafu how do we define kuishi large Bongo?

Kutesa kwa sana? Kuwa maarufu? Or what?

Mfano, unaweza kuwaambia Wabongo kuwa wakati Robbie Fowler akicheza mpira, he was the richest footballer in the Premiership na wakakubishia simply bse hakuwa popular kama akina Beckham, au hakuwa na list ya magari mengi kama El Hadji Diof.
 
Tz kwenda restaurant na kunywa Jack Daniel na kupost Instagram ndo kuishi 'large'
 
  • Thanks
Reactions: EMT
africa is so boring,nobody sues anybody...

Hahaha. Kusue inabidi uwe na hoja ya kisheria na siyo hoja za maigizo.

Hata Mengi alijaribu kumsue yule mwanamke wa Uingereza ikala kwake hata magazeti yake hayakuripoti ile kesi tena.
 
Hahaha. Kusue inabidi uwe na hoja ya kisheria na siyo hoja za maigizo.

Hata Mengi alijaribu kumsue yule mwanamke wa Uingereza ikala kwake hata magazeti yake hayakuripoti ile kesi tena.

Huyu bush lawyer wenu wa Insta mwambieni na mimi anitetee nilipwe.

Am a Super star and my name is brand.

Hawa watu wa mashambani wakija mjini ni wakuwa nao macho sana.
 
Tz kwenda restaurant na kunywa Jack Daniel na kupost Instagram ndo kuishi 'large'

Siku wakifa itabidi wazikwe na chupa ya Jack Daniel's kama walivyomzika Frank Sinatra.

BTW hivi maselebu wote wanakunywa kilevi?

Vipi tukipiga Jack Daniel's ya le kopoz na Matola tutachekwa Dar? Maana ya le kopoz inauzwa bei chee.

812a%2BT6ihQL._SL1500_.jpg
 
Back
Top Bottom