Zombie S2KIZZY JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 826 Reaction score 1,622 Feb 16, 2023 #1 Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights. Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini. Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata maji hamtununulii aisee. Mnatuchosha na tunawalipa.
Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights. Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini. Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata maji hamtununulii aisee. Mnatuchosha na tunawalipa.
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Feb 16, 2023 #2 Kwani lazima Ujifananishe na hao hata nchi yetu kwa ujumla ipo nyuma
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 2,912 Reaction score 12,904 Feb 16, 2023 #3 Huwa nashangaa sana mtu kufananisha vitu vya Tanzania na huko mbele ambako wako mbele yetu kwa miaka zaidi ya miamoja
Huwa nashangaa sana mtu kufananisha vitu vya Tanzania na huko mbele ambako wako mbele yetu kwa miaka zaidi ya miamoja
Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,405 Reaction score 13,411 Feb 16, 2023 #4 Kwa Quality ya Production ya ile performance ya Riri kuanzia stage preparation mpaka sound engineering, Best Naso fahari ya Watu wa Kanda ya Ziwa anakupa show moja matata mno. NB: Usifananishe kifo na usingizi
Kwa Quality ya Production ya ile performance ya Riri kuanzia stage preparation mpaka sound engineering, Best Naso fahari ya Watu wa Kanda ya Ziwa anakupa show moja matata mno. NB: Usifananishe kifo na usingizi
SPACE CADET JF-Expert Member Joined Dec 15, 2022 Posts 2,280 Reaction score 3,555 Feb 16, 2023 #5 Accumen Mo said: Kwani lazima Ujifananishe na hao hata nchi yetu kwa ujumla ipo nyuma Click to expand... Fact
Accumen Mo said: Kwani lazima Ujifananishe na hao hata nchi yetu kwa ujumla ipo nyuma Click to expand... Fact
NITAKUKAMATA TU JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 347 Reaction score 432 Feb 16, 2023 #6 Sijawahi kuona mkiwaponda wazungu performance zao, any way ata wao wanaperformance mbovu sema ndio hivyo mliisha kalili,
Sijawahi kuona mkiwaponda wazungu performance zao, any way ata wao wanaperformance mbovu sema ndio hivyo mliisha kalili,