Wasanii wa Bongo Flavour wanapataje pesa kupitia Streaming, Audiomack na Boomplay?

Zero IQ Usipo badilika moto utakuhusu mzee kila kitu kina mwanzo na mwisho
So chunga mwisho wako usiwe mbaya
 
Chige tupe darsa, haswa kwenye apple music, audiomack ,tidal, Spotify nk
Sina uhakika na hizo platforms zingine kwa sababu sijawahi kuzitumia lakini Boomplay, iTune na Spotify, Msanii wa Bongo Flavor anaweza kuingiza pesa mzuri ikiwa ana wafuasi wengi nje ya Bongo; na hiki ndicho kinawaumiza sana wasanii wetu huku wakifaidika zaidi Wanaija kwa sababu wana Diaspora wa kutosha!

Wasanii wa Bongo msaada wao mkubwa ni WaKenya waliopo nje, kwa sababu na wenyewe wananunua muziki ukilinganisha na Wakenya waliopo Kenya!

Leo hii hata mtu kama Diamond, anaingiza pesa mzuri kutoka kwa Wakenya ukilinganisha na anazoingiza kutoka kwa Watanzania, na ndio maana hata album yake, UMG walienda kuzindulia Nairobi!!

Jinsi wanavyolipwa, hakuna tofauti kubwa na YouTube! iTune na Spotify kwa mfano, na hata Boomplay! Hawa wana Premium Subscription na Free Subscription.

Kwenye Premium Subscription, unapo-stream au ku-download unalipia! So, unapolipia, percent fulani inaenda kwa msanii. So, kwavile ni watu wa nje ndio wanatumia sana subscription plans, ndio maana nikasema wasanii wenye wafuasi nje ya nchi ndio wanaopata mpunga mzuri!

Na ninaposema nje ya nchi namaanisha nje ya Afrika! Kwa Afrika ni nchi chache sana unazoweza kutegemea kama vile SA, KE na zingine lakini sio Tanzania.

Kwa upande mwingine, iTune na Spotify wanampa msanii percent fulani inayotokana na matangazo... yaani it's like YouTube!

Ukiwa na Premium Subscription YouTube, huwekewi matangazo kwenye video, na kwahiyo premium subscribers wakiongezeka, huenda kukawa na damage kwa wasanii cuz' nadhani kwa wasanii wa Bongo, wanaweza kuchukua hela mzuri zaidi kupitia free youtube subscribers wanaowekewa matangazo ukilinganisha na paid subscription zisizo na matangazo!

Hapo napo, thamani ya tangazo, na hatimae mpunga kwa msanii inategemea Viewers yupo nchi gani, or at least target audience ya tangazo husika ni wapi!! So, hata Spotify na iTune, na wenyewe wanatumia matangazo kwenye free subscriptions (but no ads with premium subscription), na percent ya thamani ya hayo matangazo inaenda kwa wasanii.
 
Hebu waelekeze na hawa machizi wanaosema wanalipwa kutokana na MB
 
Analipwa na network provider kutokana na viewers wanavyotumia mb..

Kama video iko you tube watazamaji watakavyotembelea mara nyingi pesa inaongezeka ..pia kuna conditions zake kama vile uwe na subscribers elfu moja na nk...

Ngoja waje wenye Kazi zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini huwa mnaandika vitu msivyovijua?
Huu ujinga wa kwamba watu wanalipwa kulingana na mb anazotumia sijui nani aliwamezesha?

Yaan wabongo huwa mnamezeshana upumbavu sana huko vijiweni, alafu mnakuwaga wabishi balaaa mtu akiwakosoa [emoji38][emoji38]
 
kama hamjui vitu msiwa mnacomment kupotosha watu..

Mb zinabadilikaje kuwa pesa?

Kama natumia free Wi-Fi?
Wabongo utawaweza mtu anaandika kwa confidence kabisa, na yeye anaona kaandika point kweli [emoji38]
 
Kulipwa kutokana na MB?! Yaani wanasema kutokana na bundle za intanet, au?!
ndio, eti mb zinabadilika kuwa hela... hahaha

Mi huwa nashangaa sana watu ambao wanajua fika kwamba jambo fulani silijui ila wanang'ang'ania kutoa majibu hata kama ni ya uongo.
 
Wabongo utawaweza mtu anaandika kwa confidence kabisa, na yeye anaona kaandika point kweli [emoji38]
Ukisoma hapo juu kuna mmoja mpaka amenitukana kabisa , ila sahizi ameshaingia mitini baada ya kuona kuwa aliandika upumbavu kwa kitu asichojua.
 
Back
Top Bottom