Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Nakuunga mkono mkuu Blue hajawahi niangusha.Muweke blue
Yule bado sanaMleta mada unataka ugomvi na watu, yani kwenye wasanii watano yule hujamweka alafu unamweka msanii wa surprise, ngoja wapite team karanga
Anamuachaje Blue huyu???!!!Muweke blue
Mtoe jux kwenye hiyo list mkuu,..,,,,au nitajie hit songs tatu tu alizoshirikishwa na zikabambaKwa mtazamo wangu nadhani hawa ndiyo wasanii wa bongo fleva ambao wameshirikishwa kwenye nyimbo bila kuharibu na wakati mwingine kuzipaisha ngoma zenyewe.
1.Alikiba.
2.G.Nako
3.Barnaba boy.
4.Rich mavoko.
5.Juma jux
Mkuu hivi kumbe kwa hela ya linex ni featuring christian bella!!!No moja ni Christina Bella jamaa anafanya vizur akishirikishwa pengine hata kumfunika muhusika mkuu
Fid ft Bella roho
Kiba ft Bella nagharamia
Linex ft Bella kwa hela
Pah one ft Bella magoma
Kasim mganga ft Bella subira