Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Kwa mtazamo wangu nadhani hawa ndiyo wasanii wa bongo fleva ambao wameshirikishwa kwenye nyimbo bila kuharibu na wakati mwingine kuzipaisha ngoma zenyewe.
1.Alikiba.
2.G.Nako
3.Barnaba boy.
4.Rich mavoko.
5.Juma jux
1.Alikiba.
2.G.Nako
3.Barnaba boy.
4.Rich mavoko.
5.Juma jux