Watu wanao jali afya zao wapo kwa Magufuli na sio wale wabeba mizigo mpaka kwenye ngazi za jukwaa unabebwa kama furishi.utawajua kwa matendo yao.
watu wanao jali afya zao wapo kwa magufuli na sio wale wabeba mizigo mpaka kwenye ngazi za jukwaa unabebwa kama furishi.
Wasanii wa Bongo flava wakipiga push up kumuunga mkono Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Karangalala.