Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mimi nadhani Dr John POMBE Magufuli anatakiwa eaelekezwe sehemu zinapopatikana gym, na wala sio kugeuza sehemu za kuelezea vipaumbele na sera kuwa sehemu ya kufanyia mazoezi ya body fitness!Watu wanao jali afya zao wapo kwa Magufuli na sio wale wabeba mizigo mpaka kwenye ngazi za jukwaa unabebwa kama furishi.