Wasanii wa Bongo fleva wakipiga push up kumuunga mkono Dk. John Pombe Magufuli

Watu wanao jali afya zao wapo kwa Magufuli na sio wale wabeba mizigo mpaka kwenye ngazi za jukwaa unabebwa kama furishi.
Mimi nadhani Dr John POMBE Magufuli anatakiwa eaelekezwe sehemu zinapopatikana gym, na wala sio kugeuza sehemu za kuelezea vipaumbele na sera kuwa sehemu ya kufanyia mazoezi ya body fitness!
 
viloba aka pombe anaungwa mkono na watu wajina ambao hawakusoma xaxa je hao waxanii ndo weng wao walikimbia umande
 
Tunataka mwizi mwingine,we zamani tumemchoka
 
Uyu jamaa bana
 

Attachments

  • 1443418735618.jpg
    54.1 KB · Views: 151
  • 1443418758666.jpg
    52.5 KB · Views: 139
Nimeona bango Tanga leo limeandikwa, "Push - up ni kwa mkeo tu."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…