Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sajo aka Mentali R.I.P. aliimba wimbo na Feruz wa Nipe Tano.
"Nipo simple kama x, busy kama tax........
Braza utafungwa,Sajo yupo Mbeya.
Naomba radhi. Basi nitakuwa nimekosea lakini kwa ule wimbo wa nipe tano walioimba mmoja ni marehemu.
Sajo aka Mentali R.I.P. aliimba wimbo na Feruz wa Nipe Tano.
"Nipo simple kama x, busy kama tax........
Aliyefariki ni Bakari Magoma a.k.a Pablo
duuuh wana kibao wametangulia, Rip, ngwea, mabovu, langa, mr ebo, coplex $ vivi, chef ramso, kanumba, adam, daaah! wengine kibao. R i p.
john mjema rip
duuuh wana kibao wametangulia, Rip, ngwea, mabovu, langa, mr ebo, coplex $ vivi, chef ramso, kanumba, adam, daaah! wengine kibao. R i p.