Wasanii wa Bongo Fleva wanalogana, uchawi watikisa muziki..

Wasanii wa Bongo Fleva wanalogana, uchawi watikisa muziki..

hivi unajua kuwa Fally ametengwa na familia yake?
It costed him 3 of his relative kufika hapo alipo, mamake na dada zake wawili.
Sasa nyota iliyosindikwa na makafara ya damu matatu inapokonyeka kirahisi mkuu?

iyo sio mchezo mkuu,ila wakongo kwa usangoma nawakubali.
 
unachosema ni kweli lakini zingatia matumizi ya kiswahili, kwa muda mrefu nimegundua kiswahili kinakupiga chenga
 
Juzi juzi hapa Chid Benz aka Chuma alikuwa anaojiwa na redio moja ivi,akasema kupotea kwake kimuziki ni kuna mkono wa Kassim naTundaman.

chidy naye analalamikia uchawi? Mbona anguko lake lilionekana mapema?
 
Juzi juzi hapa Chid Benz aka Chuma alikuwa anaojiwa na redio moja ivi,akasema kupotea kwake kimuziki ni kuna mkono wa Kassim naTundaman.

ndo tatizo let waafrika..uki-mchawi tunamtafuta nje yetu!
 
waswahili ndo maana tunakuwa maskini wa akili na mali, usiamini ujinga mwishowe utakuwa chizi, huyo shetani na mungu umewahi kuwaona? seeing is believing
 
wasanii wa wabongo bado hawajafikia maendeleo ya kusema eti wanaoneana wivu adi kulogana na wao wanaolalamika wamelogwa wamejuaje kama na wao si wachawi? au wametokewa na malaika
 
wasanii wa wabongo bado hawajafikia maendeleo ya kusema eti wanaoneana wivu adi kulogana na wao wanaolalamika wamelogwa wamejuaje kama na wao si wachawi? au wametokewa na malaika

embu tu wa ulize mwenyewe na washanga.aaa?
 
wanazidiana kuloga atakaeshindwa ndio anatangaza.!
 
jamani hivi uchawi kweli upo?? sidhani kama ni kweli ni fikra za watu tu zinawatia wawe wavivu haya mambo wala sishangai hata kipindi cha miaka ya nyuma sana mzee kinjekitile eti alikuwa mganga akawapa dawa wananchi wa kijiji chao ili wakipigana na wajerumani silaha zinakuwa maji, shughuli waliona walikufa kama kumbi kumbi ila aliwafanya waamini kabisa kitu ni cha ukweli so akawajenga kiimani wakaamini so hata leo watu wanaamini uchawi ila ukweli sio ukweli kabisa napinga hili jambo, i can say majini labda ila sio uchawi eti utumie ili ufanikishe jambo fulani nooooooo kabisa hakuna kitu kama hiki. la sivyo tungekuwa mbali sana. all above are my personal opinion.
 
wanaolalamika wamelogwa wamejuaje kama na wao si wachawi? au wametokewa na malaika

Wachawi wote na wanaowachonganisha ni haohao kina Ngomalile(waganga) wao.
Uchawi Imani na imani ina nguvu sana
Hawa bongofleva wameshaingia kwenye hiyo imani basi watalogana hadi watasahau huo muziki kazi yao itakua kulogana tu
 
Back
Top Bottom