jamani hivi uchawi kweli upo?? sidhani kama ni kweli ni fikra za watu tu zinawatia wawe wavivu haya mambo wala sishangai hata kipindi cha miaka ya nyuma sana mzee kinjekitile eti alikuwa mganga akawapa dawa wananchi wa kijiji chao ili wakipigana na wajerumani silaha zinakuwa maji, shughuli waliona walikufa kama kumbi kumbi ila aliwafanya waamini kabisa kitu ni cha ukweli so akawajenga kiimani wakaamini so hata leo watu wanaamini uchawi ila ukweli sio ukweli kabisa napinga hili jambo, i can say majini labda ila sio uchawi eti utumie ili ufanikishe jambo fulani nooooooo kabisa hakuna kitu kama hiki. la sivyo tungekuwa mbali sana. all above are my personal opinion.