Daaaaaaah.....so badhuyu mtu ni hatari .............
[h=3]DUDU BAYA AMKATA SIKIO MAMA YAKE[/h]
"Siogopi yeyote hata Dudu labda aje John Cena" by Dogo Hamidu .......hahaha hizi bange hizi .......
Dogo hamidu bange zinamsumbua dudu baya kamtoa inabidi amuheshimu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Namuangalia Dudubaya akihojiwa na Salama kwenye kipindi cha mikasi.....jamaa anaongea ujinga mtupu.