Wasanii wa Bongo hawajui kujieleza kwenye vyombo vya habari

Wasanii wa Bongo hawajui kujieleza kwenye vyombo vya habari

"Siogopi yeyote hata Dudu labda aje John Cena" by Dogo Hamidu .......hahaha hizi bange hizi .......

Dogo hamidu bange zinamsumbua dudu baya kamtoa inabidi amuheshimu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Dogo hamidu bange zinamsumbua dudu baya kamtoa inabidi amuheshimu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

kweli kabisa dudu kamsaidia san
mpaka leo anajiita nyandu tozi
hana shukrani tu
 
Namuangalia Dudubaya akihojiwa na Salama kwenye kipindi cha mikasi.....jamaa anaongea ujinga mtupu.

Kwako kujua kujieleza unakuelewa vipi labda?unataka angekuwa anajibu kwa ulimbukeni Wa kujitia kuchanganya na kiingereza ndio ungeona anajua kujieleza kwenye media?au lafudhi yake ya kisukuma unaona hajui kujieleza?u can't be serious.ni haters tu.ukiulizwa uelezee utajibu baasi tu hajui kujieleza.
 
Jamaa ana hulka za ugomvi na anahisi ni wasifu wa kujivunia, itabidi tumuite DUDU GOmVI.
 
hamna interview ya mkasi niliyocheka mwanzo mwisho kama ya dudu yule jamaa ata comedy anaiweza
 
Back
Top Bottom