Wasanii wa Bongo hawajui kujieleza kwenye vyombo vya habari

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
9,578
Reaction score
7,774
Namuangalia Dudubaya akihojiwa na Salama kwenye kipindi cha mikasi.....jamaa anaongea ujinga mtupu.
 
Haaa nimependa alivyoulizwa ushawahi kumpiga mr nice dudubaya akasema ndio tena mara mbili,jamaa hapindishi spade ni spade!
 
Yeah...jamaa ni mtemi hadi kwenye kujieleza kwenye media.
 
Namuangalia Dudubaya akihojiwa na Salama kwenye kipindi cha mikasi.....jamaa anaongea ujinga mtupu.

Swali gani kajibu vibaya na ungekua wewe ungejibu vipi? Kipindi chenyewe ni cha mzaha unataka mtu akomae na majibu sahihi kama anajibu mtihani?..sema jingine hapo hakuna haja ya kumlaumu huyo jamaa japo naye ni kubwa jinga!
 
Hakuna kitu cha mzaha linapokuja suala la kujieleza mbele ya jamii mkuu...na hasa ukiwa celeb.....anyway hata mwenyewe umebaini ni kubwa jinga.
 
Dudu Baya mtemi sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wewe kiboko ya Dudubaya ni Kalapina ......Kuna msanii wa longtime Bad Spark (yule aliyechana kwenye single ya Daajo) aliwahi kuniambia Pina alishamuibukia Dudu maskani enzi hizo na lile sauti lake la mabange "mwana nimekuja sasa" ikabidi Dudu anywee ilikuwa baada ya Dudu kudai ugomvi wao wa Billz mabaunsa walimshika ndio maana Pina akamuotea ......Pina ndio kiranja wa ugomvi .....
 
"Siogopi yeyote hata Dudu labda aje John Cena" by Dogo Hamidu .......hahaha hizi bange hizi .......
 
amesha kuwa kichaa dudu muangalieni tu mtuu unajisifu eti nakula bapa sifa zinauwa. jamanii duhu.kweli unajivunia kunywa bapa na uchungu wote ule unameza uku umefumba macho. nakujisifu kutwangana ngumi yule ni chiz.
 
Bora h2ta hicho kipindi cha kihuni kinachoendeshwa na msagaji kipo kwenye television yenu pendwa.

Sipati picha kama kingelikua mawingu tv ambavyo mngeporomosha matusi kuanza mmiliki,management hadi wafanyakazi wenyewe.

Sasa niwaulize hicho kipindi kinachotengenezewa saloon kina utofauti gani na vile vya mawingu???

Je wafanyakazi wake wana tofauti gani na wale wa mawingu???

Tatito maisha wengi wenu yamechapa mwishowe mmeamua kuishi maisha ya visilani kwa kuwachukia baadhi ya watu na mafanikio yao kisa hawaongei na kuvipamba vile mpendavyo kusikiliza.
 
Tatito maisha wengi wenu yamechapa kmwishowe mmeamua kuishi maisha ya visilani kwa kuwachukia baadhi ya watu na mafanikio yao kisa hawaongei na kuvipamba vile mpendavyo kusikiliza.

Daah...sijakuelewa mkuu...nani anamchukia mtu hapa...kwani dudubaya ana mafanikio gani.....au nawe ndio wale wale wa kudis watu
 
Hivi alivyokuwa anasema anakunywa bapa alikuwa anamaanisha kinywaji gani?
 
Wewe kiboko ya Dudubaya ni Kalapina ......Kuna msanii wa longtime Bad Spark (yule aliyechana kwenye single ya Daajo) aliwahi kuniambia Pina alishamuibukia Dudu maskani enzi hizo na lile sauti lake la mabange "mwana nimekuja sasa" ikabidi Dudu anywee ilikuwa baada ya Dudu kudai ugomvi wao wa Billz mabaunsa walimshika ndio maana Pina akamuotea ......Pina ndio kiranja wa ugomvi .....

~Da Joh Da Joh tumekukubali lol long Bad Spark kapotea
~Narudi kwa dudubaya nishakupa mawash bills ukakimbia macho wanashuhudia,na Shoga Benzino lol #Beef
 
Hivi alivyokuwa anasema anakunywa bapa alikuwa anamaanisha kinywaji gani?

Konyagi-chupa.jpg
 
Bora h2ta hicho kipindi cha kihuni kinachoendeshwa na msagaji kipo kwenye television yenu pendwa.

Sipati picha kama kingelikua mawingu tv ambavyo mngeporomosha matusi kuanza mmiliki,management hadi wafanyakazi wenyewe.

Sasa niwaulize hicho kipindi kinachotengenezewa saloon kina utofauti gani na vile vya mawingu???

Je wafanyakazi wake wana tofauti gani na wale wa mawingu???

Tatito maisha wengi wenu yamechapa mwishowe mmeamua kuishi maisha ya visilani kwa kuwachukia baadhi ya watu na mafanikio yao kisa hawaongei na kuvipamba vile mpendavyo kusikiliza.

Ww kichwa chako ktakuwa kbovu zaid ya dudu, huwez lazmisha dunia iende as u wish, learn not to judge bt to understand things hw thy r...
 
Back
Top Bottom