Cc Magonjwa MtambukaMagonjwa humaliza pesa.
Wasanii wakiacha usanii, watasaidika sana bila masimango.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc Magonjwa MtambukaMagonjwa humaliza pesa.
Wasanii wakiacha usanii, watasaidika sana bila masimango.
Sahihi kabisa, matibabu huwa ni gharama sana.Mkuu tambua kuwa matibabu ni gharama sana, wasanii wachache sana ambao wakifikwa na maradhi wanaweza kujitibia bila kuomba msaada, fikiria Marehemu Ruge au Prof Jay kwa hadhi yao ila nae walipitisha michango
Word....Ni lini umenunua kazi ya Msanii au ni nani mtu wako wa karibu umeona ana tabia ya kununua au wote ni mwendo wa piracy ?!!!
Kwahio usishangae kama tasnia hii haina pesa za kumwaga; vilevile playing the part ndio usanii wenyewe (wanauza a status they need to portray being stars / better than average)
Anyway badala ya kulaumu watu wanakosa huduma muhimu (basic need) kwa watunga sera kutokufikisha huduma hizi muhimu unalaumu kwanini watu wasichangiane / tembeza bakuli ? Kodi zetu zinafanya nini ?
Mwijaku kawachana tayari,Shame on them... mara wanakodi Ndege; mara wanamiliki majumba ya kifahari; mara wapo Vocation wapi wapi..
Maskini wameshindwa KumchangiA mwenzao..
Kesho utasikia wanatoa ratiba ya Kuaga Leaders Klabu..
Daaah so sadBoshen wa Haitham simanzi tupu[emoji174]
Pichani ni Mume wa aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva Haitham Kim, Boshen akiwa pembeni ya jeneza la mke wake huyo wakati mwili ukielekea Makaburi ya kisutu kwenda kuzikwa.View attachment 2736785
Nimeshangaa wagawa marange, wanatumia pesa kutunza, matajiri wa bilioni na bilioni wakishindwa kumsaidia dada aliyefariki na wao wakitembeza bakuli.
Wasanii acheni uongo na ugonjwa ndiyo utajua utajiri wako
Umesema kweli kuuguza si jambo jepesi. Wewe fikiria alikuwa eti anachoma sindano moja kila siku lak 7, hapo bado gharama nyinginezo. Ukiwa umewahi kuuguza utaelewa.Mkuu tambua kuwa matibabu ni gharama sana, wasanii wachache sana ambao wakifikwa na maradhi wanaweza kujitibia bila kuomba msaada, fikiria Marehemu Ruge au Prof Jay kwa hadhi yao ila nae walipitisha michango
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nandy anatuambia kanunua gari ya 1.2B bwana wake anatembeza bakuli kupitia m pesa
Shenzi
Mbwembwe tuuNandy anatuambia kanunua gari ya 1.2B bwana wake anatembeza bakuli kupitia m pesa
Shenzi
Nimeshangaa wagawa marange, wanatumia pesa kutunza, matajiri wa bilioni na bilioni wakishindwa kumsaidia dada aliyefariki na wao wakitembeza bakuli.
Wasanii acheni uongo na ugonjwa ndiyo utajua utajiri wako
Kuna Mwaka Wem Sepetu alizawadiwa Range kwenye Birthday Yake.Nimeshangaa wagawa marange, wanatumia pesa kutunza, matajiri wa bilioni na bilioni wakishindwa kumsaidia dada aliyefariki na wao wakitembeza bakuli.
Wasanii acheni uongo na ugonjwa ndiyo utajua utajiri wako
SahihiWasanii wanafanya hivyo kwa ajili ya kujivalue ili promota akibeep tu kikazi anagewa invoice ya mamilioni ila on the other hand huku sisi mashabiki wasaka nyoka tunaona jamaa ni matajiri lakini wasanii target yao ni kupata endorsement kubwa na Pakee kubwa kwenye kazi.
Msanii ni MSANII tu...Hata Domondi pamoja na kuwa na MAKOKOTO na VIBUNDA vya kutosha lakini na yeye huwa anaongeza 0 na pia somtimes anamiliki majumba ya instagram.