babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Tatizo wapo watu kazi yao kubwa kupinga kila kituNdugu tatizo mnalipoti vibaya ili uonekane unachokiongea kipko sahihi,wanasema watazuia mikanda yote kutoka nnje ambayo haifuati utalatibu kama kupitia cosota ,yra na nk hivi hujihurumii hata wewe soko moja mnatengeneza bidhaa moja mwenzio halipi kodi wewe unalipa kodi unaweza kumshinda kweli huyu kibiashara?