Umeongea vizuri sana, naomba wanaopita hapa wamfahamishe.Mh Makonda niliwah kusema wewe ndio utafungua mlango kwa vijana kupata madaraka au kuendelea kuwa wazee madaraka kutokana na maadili yetu vijana.
Kunasherehe zina andaliwa na vikundi au watu ila tambua hilo ni tego. Nausipo funguka macho utajiaribia mwenyewe. Waambie pesa wanachanga waziweke kwenye mfuko wa maendeleo ya jiji au wanunue vitanda kwa ajil ya wagonjwa wakuite kuvikabidhi. Ukifanya hvyo umekivuka kiunzi na sote tumepona. Asante
Mh Makonda niliwah kusema wewe ndio utafungua mlango kwa vijana kupata madaraka au kuendelea kuwa wazee madaraka kutokana na maadili yetu vijana.
Kunasherehe zina andaliwa na vikundi au watu ila tambua hilo ni tego. Nausipo funguka macho utajiaribia mwenyewe. Waambie pesa wanachanga waziweke kwenye mfuko wa maendeleo ya jiji au wanunue vitanda kwa ajil ya wagonjwa wakuite kuvikabidhi. Ukifanya hvyo umekivuka kiunzi na sote tumepona. Asante
Kipi, Vipo 6 hapo Mkuu BB
Hiki chuma nimekielewa