Wasanii wa Bongo Movie wampongeza Paul Makonda kwa kuteuliwa kuwa RC Dar

Wasanii wa Bongo Movie wampongeza Paul Makonda kwa kuteuliwa kuwa RC Dar

Rais alishasema hakuna sherehe.awa wasanii wetu sijui wana nini hizi sio nyakati za kusheherekea ni nyakati za kusaga meno ili nchi osonge mbele.dar kuna kila aina ya shida .maji hakuna.umeme wa shida.folen .kipato duni.huduma za afya ni shida.uchafu kila kona heti nyie mnafanya sherehe.?.mi nimekasirika sana hata leo sili kutwa nzima
 
Pengine ni rafiki yake! Anamtahadharisha ili asiingie kingi mapema!
Makonda Paul ni Hazina ya chama cha mapinduzi hata afanyeje hafanywi kitu, 2020 atagombea ubunge km sio urais, huyo kada ni habari ingine kabisa kuliko vijana wote wa uvccm
 
....ukimuona mtu anateuliwa, akaupokea uteuzi kwa shangwe na vifijo badala ya kutafakari atawatumia vipi wananchi ni wa kuigopa kama ukoma!,maana watu wajanja wanja watakuwa wanatafuta vijinafasi ili waweze kutimiza yao.
 
Hao bongo flava wanamfanyia party kwa expectation gani?kweli Makonda be careful na wanaojipendekeza kufurahia uteuzi wako to the extent ya kutaka kukufanyia party au kukuletea vizawadi,uwe makini sana nao,wengi wanategemea uje ulipe fadhila kwa namna moja au nyingine,pia hao mabongo flava wa jinsia nyingine pia waangalie kwa makini wasije wakakuweka kwenye headlines za magazeti..nafikiri umenielewa.
 
Naona wamesahau kuvaa ile mijezi ya machafuko party.
 
8c934a3fec29a2218131edb45921367a.jpg


Hiki chuma nimekielewa
Hiyo mali ya nyerere steve
 
watu mna nongwa sana..ss hapo tatizo liko wapi..just a dinner..cmon now msituletee mambo ya kikoloni hapa!
 
Makonda naona watu wamekupa ushauri mapema kabla hujalikoroga! Be care
 
wala haina tatizo kumbe walioandaa tafrija ni "wasanii"...
 
Back
Top Bottom