BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Aliyepiga white huyo"Kipi, Vipo 6 hapo Mkuu BB
Pengine ni rafiki yake! Anamtahadharisha ili asiingie kingi mapema!Sasa wewe si umwache afanyiwe hizo sherehe? Tatizo nini
Makonda Paul ni Hazina ya chama cha mapinduzi hata afanyeje hafanywi kitu, 2020 atagombea ubunge km sio urais, huyo kada ni habari ingine kabisa kuliko vijana wote wa uvccmPengine ni rafiki yake! Anamtahadharisha ili asiingie kingi mapema!
Huyu Kweli Mkali Mkuu! Wenyewe wanasemaga mdomo na papuchi hua zinafanana Sana!Aliyepiga white huyo"
Ma-Star wa Bongo Movia wamemuangushia party ya nguvu Mkuu wa Mkoa mpya wa Dsm ndugu Paul Makonda baada ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dsm.
Party hiyo ilijumuisha mastaa kibao wa mjini wakiongozwa na STEVE NYERERE, RICHI RICHIE na JB
Hiyo mali ya nyerere steve
Hiki chuma nimekielewa
Duh kumbe andunje anakojolea pazuri hivHiyo mali ya nyerere steve
Mjini ukiwa na hela utalala na mrembo yeyote hata uwe na sura kama sokwe mtuDuh kumbe andunje anakojolea pazuri hiv
hata weweMjini ukiwa na hela utalala na mrembo yeyote hata uwe na sura kama sokwe mtu
Hahaha mie sio wa bongo sasa mie nipo milimani ukuhata wewe
Hahaha wote walewale tuHahaha mie sio wa bongo sasa mie nipo milimani uku