Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Kuna baadhi ya wasanii wa apa nyumbani wanakera sana unakuta wanapanda jukwaani ------ nje wanaonesha boksa zao wengine chafu kma ulikua jamhuri jana hakika ulishuhudia vioja mfani Izo bissness,young killer,ney wa mitego,madee nk..mnakera sana badilikeni