Wasanii wa bongo na milegezo

Wasanii wa bongo na milegezo

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
Kuna baadhi ya wasanii wa apa nyumbani wanakera sana unakuta wanapanda jukwaani ------ nje wanaonesha boksa zao wengine chafu kma ulikua jamhuri jana hakika ulishuhudia vioja mfani Izo bissness,young killer,ney wa mitego,madee nk..mnakera sana badilikeni
 
Nackia kuna sheria mpya imepitishwa ya milegezo,anaeijua hebu atupe data kamili!maana hali ni mbaya kumbuka kuna hadi wadada wnanavaa milegezo nowdays
 
Nackia kuna sheria mpya imepitishwa ya milegezo,anaeijua hebu atupe data kamili!maana hali ni mbaya kumbuka kuna hadi wadada wnanavaa milegezo nowdays

iyo imepita Marekani fine nje nje
 
Nimewaambia clouds kule twitter kuwa sijui fursa sijui nini ni upuuzi mtupu...
 
Back
Top Bottom